Mwanzo 1

Kuumbwa ulimwengu 1 Hapo mwanzo, Mungu aliumba mbingu na dunia. 2 Dunia ilikuwa bila umbo na tupu. Giza lilikuwa limefunika vilindi vya maji na roho ya Mungu ilikuwa ikitanda juu…

Mwanzo 2

1 Hivyo ndivyo mbingu na dunia zilivyokamilika pamoja na vitu vyote vilivyomo. 2 Siku ya saba Mungu alimaliza kazi yake yote aliyofanya; siku hiyo ya saba Mungu akapumzika baada ya…

Mwanzo 3

Uasi wa binadamu 1 Nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa porini walioumbwa na Mwenyezi-Mungu. Basi, nyoka akamwambia huyo mwanamke, “Ati Mungu alisema msile matunda ya mti wowote bustanini?” 2…

Mwanzo 4

Kaini na Abeli 1 Adamu akalala na Hawa mkewe, naye akapata mimba, akamzaa Kaini.Hawa akasema, “Nimepata mtoto wa kiume kwa msaada wa Mwenyezi-Mungu!” 2 Halafu akamzaa Abeli nduguye. Abeli alikuwa…

Mwanzo 5

Wazawa wa Adamu 1 Ifuatayo ni orodha ya wazawa wa Adamu. Wakati Mungu alipomuumba binadamu, alimuumba kwa mfano wake. 2 Aliwaumba mwanamume na mwanamke, kisha akawabariki na kuwapa jina “Binadamu.”…

Mwanzo 6

Uovu wa binadamu 1 Binadamu walipozidi kuongezeka duniani na kuzaa wasichana, 2 watoto wa kiume wa Munguwaliwaona hao wasichana wa watu kuwa ni wazuri, wakawachukua wale waliowapenda kuwa wake zao….

Mwanzo 7

Gharika kuu 1 Mwenyezi-Mungu akamwambia Noa, “Ingia ndani ya safina wewe pamoja na jamaa yako yote, kwa maana, kati ya watu wote wanaoishi nyakati hizi zako, nimekuona wewe peke yako…

Mwanzo 8

Mwisho wa gharika 1 Kisha Mungu akamkumbuka Noa na wanyama wote wa porini na wa kufugwa waliokuwa pamoja naye ndani ya safina. Basi, Mungu akavumisha upepo juu ya nchi, maji…

Mwanzo 9

Mungu anafanya agano na Noa 1 Mungu akambariki Noa na wanawe, akiwaambia, “Zaeni, muongezeke, mkaijaze nchi. 2 Wanyama wote, ndege wote wa angani, viumbe wote watambaao juu ya nchi na…

Mwanzo 10

Wazawa wa Noa 1 Baada ya gharika, watoto wa Noa, Shemu, Hamu na Yafethi, walipata watoto wa kiume na wa kike. Hii ndiyo orodha ya wazawa wao: 2 Watoto wa…