1 Mambo ya Nyakati 1

Toka Adamu hadi Abrahamu 1 Adamu alimzaa Sethi, Sethi akamzaa Enoshi, Enoshi akamzaa Kenani, 2 Kenani akamzaa Mahalaleli, Mahalaleli akamzaa Yaredi, 3 Yaredi akamzaa Henoki, Henoki akamzaa Methusela. Methusela alimzaa…

1 Mambo ya Nyakati 2

Wazawa wa Yuda 1 Israeli alikuwa na wana wa kiume kumi na wawili: Reubeni, Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari, Zebuluni, 2 Dani, Yosefu, Benyamini, Naftali, Gadi na Asheri. 3 Wana wa…

1 Mambo ya Nyakati 3

Wana wa mfalme Daudi 1 Hawa ndio wana wa mfalme Daudi waliozaliwa wakati alipokuwa huko Hebroni: Amnoni, mzaliwa wake wa kwanza; mama yake aliitwa Ahinoamu, Myezreeli; wa pili Danieli ambaye…

1 Mambo ya Nyakati 4

Wazawa wa Yuda 1 Wana wa Yuda walikuwa Peresi, Hesroni, Karmi, Huri na Shobali. 2 Reaya, mwana wa Shobali, alimzaa Yahathi, aliyekuwa baba yake Ahumai na Lahadi, hizo ndizo jamaa…

1 Mambo ya Nyakati 5

Wazawa wa Reubeni 1 Hawa ndio wazawa wa Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa Israeli. (Ingawa Reubeni alikuwa mzaliwa wa kwanza haki yake ya mzaliwa wa kwanza ilipewa Yosefu nduguye kwa…

1 Mambo ya Nyakati 6

Nasaba ya makuhani wakuu 1 Lawi alikuwa na wana watatu: Gershomu, Kohathi na Merari. 2 Kohathi alikuwa na wana wanne: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. 3 Amramu alikuwa na wana…

1 Mambo ya Nyakati 7

Wazawa wa Isakari 1 Wana wa Isakari walikuwa wanne: Tala, Pua, Yashubu na Shimroni. 2 Wana wa Tola walikuwa: Uzi, Refaya, Yerieli, Yamai, Ibsamu na Shemueli. Hao walikuwa wakuu wa…

1 Mambo ya Nyakati 8

Wazawa wa Benyamini 1 Benyamini alikuwa na wana watano: Bela, mzaliwa wake wa kwanza, Ashbeli wa pili, Ahara wa tatu, 2 Noha wa nne na Rafa wa tano. 3 Bela…

1 Mambo ya Nyakati 9

Watu waliorudi toka uhamishoni 1 Hivyo, watu wote wa Israeli waliandikishwa katika nasaba, na orodha hiyo imeandikwa katika Kitabu cha Wafalme wa Israeli. Watu wa Yuda walikuwa wamechukuliwa mateka hadi…

1 Mambo ya Nyakati 10

Kifo cha mfalme Shauli 1 Basi, Wafilisti walipigana vita dhidi ya Waisraeli; nao Waisraeli walikimbia mbele ya Wafilisti na kuuawa katika mlima wa Gilboa. 2 Lakini Wafilisti wakamzingira Shauli na…