1 Mambo ya Nyakati 11

Daudi anakuwa mfalme 1 Kisha Waisraeli wote walikusanyika pamoja kwa Daudi huko Hebroni, wakamwambia: “Tazama, sisi ni mwili na damu yako. 2 Hapo awali, Shauli alipokuwa mfalme wewe ndiwe uliyewaongoza…

1 Mambo ya Nyakati 12

Wafuasi wa kwanza wa Daudi kutoka Benyamini 1 Hawa ni wanaume ambao walijiunga na Daudi huko Siklagi, alipokuwa hana uhuru wowote wa kutembea kwa sababu ya mfalme Shauli mwana wa…

1 Mambo ya Nyakati 13

Sanduku la agano lasimamishwa Kiriath-yearimu 1 Daudi alishauriana na makamanda wa vikosi vya maelfu na vikosi vya mamia, pamoja na viongozi wote. 2 Kisha akawaambia Waisraeli wote waliokusanyika, “Ikiwa mtakubaliana…

1 Mambo ya Nyakati 14

Shughuli za Daudi Yerusalemu 1 Kisha mfalme Hiramu wa Tiro alituma wajumbe kwa Daudi, pia alimpelekea mierezi, waashi na maseremala, ili wamjengee Daudi ikulu. 2 Hivyo, Daudi akatambua kwamba Mwenyezi-Mungu…

1 Mambo ya Nyakati 15

Maandalizi ya kulihamisha sanduku la agano 1 Daudi alijijengea nyumba katika mji wa Daudi. Tena akalitengenezea sanduku la Mungu mahali, akalipigia hema. 2 Kisha akasema, “Hakuna mtu mwingine yeyote atakayelibeba…

1 Mambo ya Nyakati 16

1 Kisha waliliingiza sanduku la Mungu, na kuliweka ndani ya hema ambayo Daudi alikuwa ameitayarisha. Halafu wakatoa tambiko za kuteketezwa na za amani mbele ya Mungu. 2 Daudi alipomaliza kutoa…

1 Mambo ya Nyakati 17

Ujumbe wa Daudi kutoka kwa Nathani 1 Wakati mfalme Daudi alipokuwa akikaa katika ikulu, siku moja alimwita nabii Nathani, na kumwambia, “Hebu tazama, mimi ninakaa kwenye nyumba nzuri iliyojengwa kwa…

1 Mambo ya Nyakati 18

Ushindi wa Daudi vitani 1 Baada ya hayo, mfalme Daudi aliwashinda na kuwatiisha Wafilisti. Akauteka mji wa Gathi pamoja na vijiji vyake walivyomiliki Wafilisti. 2 Aliwashinda Wamoabu pia, wakawa watumishi…

1 Mambo ya Nyakati 19

Daudi awashinda Waamoni na Waashuru 1 Ikawa baada ya hayo Nahashi, mfalme wa Waamoni akafariki; naye mwanawe akashika utawala. 2 Basi, Daudi akasema, “Nitamtendea mema Hanuni mwana wa Nahashi, kwani…

1 Mambo ya Nyakati 20

Daudi anauteka mji wa Raba 1 Hata ikawa katika mwanzo wa mwaka mpya, wakati ambapo wafalme huenda vitani, Yoabu aliliongoza jeshi na kuteka nyara nchi ya Waamoni, pia akaenda na…