1 Mambo ya Nyakati 21
Daudi anahesabu Waisraeli 1 Shetani akajitokeza kuwataabisha Waisraeli, akamshawishi Daudii awahesabu watu. 2 Hivyo, Daudi akamwambia Yoabu na wale makamanda wengine, “Nendeni mkawahesabu Waisraeli, kutoka Beer-sheba mpaka Dani. Nileteeni ripoti…