1 Petro 1

1 Mimi Petro, mtume wa Yesu Kristo, nawaandikia nyinyi wateule wa Mungu Baba, ambao mmetawanyika na mnaishi kama wakimbizi huko Ponto, Galatia, Kapadokia, Asia na Bithunia. 2 Mungu Baba aliwateua…

1 Petro 2

Jiwe hai na taifa takatifu 1 Basi, acheni uovu wote; uongo, unafiki, wivu na maneno ya kashfa visiweko tena. 2 Kama vile watoto wachanga wanavyotamani maziwa, nanyi pia mnapaswa kuwa…

1 Petro 3

Mume na mke 1 Nanyi wake, jiwekeni chini ya mamlaka ya waume zenu, ili kama wako waume wowote wasioamini neno la Mungu, wapate kuamini kwa kuuona mwenendo wenu. Haitakuwa lazima…

1 Petro 4

Maisha mapya 1 Maadamu Kristo aliteseka kimwili, nanyi pia mnapaswa kujiimarisha kwa nia hiyo yake; maana mtu akisha teseka kimwili hahusiki tena na dhambi. 2 Tangu sasa, basi, maisha yaliyowabakia…

1 Petro 5

Kundi la Mungu 1 Mimi mzee miongoni mwenu wazee wenzangu, mimi ambaye nilishuhudia mateso ya Kristo na kushiriki ule utukufu utakaofunuliwa, nawasihini 2 mlichunge lile kundi la Mungu mlilokabidhiwa; mlitunze…