1 Samueli 11

Shauli anawashinda Waamoni 1 Kisha mfalme Nahashi wa Waamoni, alikwenda na kuuzingira mji wa Yabesh-gileadi. Wakazi wa mji wa Yabesh-gileadi wakamwambia Nahashi, “Fanya mapatano nasi, nasi tutakutumikia.” 2 Lakini akawaambia,…

1 Samueli 12

Samueli anawahutubia Waisraeli 1 Samueli akawaambia Waisraeli wote, “Yote mliyoniambia, nimeyasikiliza. Nimemtawaza mfalme juu yenu. 2 Sasa, mnaye mfalme wa kuwaongoza. Kwa upande wangu, mimi ni mzee mwenye mvi, na…

1 Samueli 13

Vita dhidi ya Wafilisti 1 Shauli alikuwa na umri wa miaka kadha wa kadhaalipoanza kutawala. Na alitawala Israeli kwa muda wa miaka … miwili. 2 Shauli aliwachagua Waisraeli 3,000. Kati…

1 Samueli 14

Kitendo cha ujasiri cha Yonathani 1 Siku moja, Yonathani mwana wa mfalme Shauli alimwambia kijana aliyembebea silaha, “Njoo, twende ngambo kwenye ngome ya Wafilisti.” Lakini Yonathani hakumwambia baba yake. 2…

1 Samueli 15

Vita dhidi ya Waamaleki 1 Samueli alimwambia Shauli, “Mwenyezi-Mungu alinituma kukupaka mafuta uwe mfalme wa watu wake wa Israeli. Sasa sikiliza maneno ya Mwenyezi-Mungu. 2 Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema hivi:…

1 Samueli 16

Daudi anapakwa mafuta kuwa mfalme 1 Mwenyezi-Mungu akamwambia Samueli, “Utamlilia Shauli mpaka lini? Wewe unajua kuwa mimi nimemkataa kuwa mfalme juu ya Israeli. Sasa, jaza upembe wako mafuta, uondoke. Nitakutuma…

1 Samueli 17

Goliathi anapambana na Waisraeli 1 Sasa, Wafilisti walikusanya majeshi yao huko Soko, mji ulioko katika Yuda, tayari kwa vita. Walipiga kambi katika sehemu moja iitwayo Efes-damimu kati ya Soko na…

1 Samueli 18

1 Shauli alipomaliza kuzungumza na Daudi, Yonathani mwana wa Shauli, alivutiwa sana na Daudi, akampenda kwa moyo wake wote kama alivyojipenda yeye mwenyewe. 2 Tangu siku hiyo, Shauli akamchukua Daudi…

1 Samueli 19

Shauli anamwandama Daudi 1 Shauli alimweleza mwanawe Yonathani na maofisa wake juu ya mpango wake wa kumwua Daudi. Lakini Yonathani, mwanawe Shauli, alimpenda sana Daudi. 2 Kwa hiyo, akamwambia, “Baba…

1 Samueli 20

Yonathani anamsaidia Daudi 1 Daudi alikimbia kutoka Nayothi katika Rama, akaenda mpaka kwa Yonathani, akamwambia, “Nimefanya nini? Kosa langu ni nini? Nimemtendea baba yako dhambi gani hata ajaribu kuyaangamiza maisha…