1 Samueli 21

Daudi anamkimbia Shauli 1 Daudi alikwenda kwa kuhani Ahimeleki huko Nobu. Ahimeleki akatoka kumlaki huku akiwa anatetemeka, akamwuliza, “Kwa nini umekuja hapa peke yako?” 2 Daudi akamjibu, “Niko hapa kutokana…

1 Samueli 22

Shauli anawaua makuhani 1 Daudi aliondoka huko akakimbilia kwenye pango karibu na mji wa Adulamu. Kaka zake na ndugu zake wengine waliposikia kwamba alikuwa hapo, wote walikwenda kuungana naye. 2…

1 Samueli 23

Daudi anauokoa mji wa Keila 1 Kisha Daudi aliambiwa, “Sikiliza, Wafilisti wanaushambulia mji wa Keila na wanapora nafaka kwenye viwanja vya kupuria.” 2 Basi, Daudi akamwomba Mwenyezi-Mungu shauri, “Je, niende…

1 Samueli 24

Daudi anayahurumia maisha ya Shauli 1 Shauli aliporudi kutoka kupigana na Wafilisti, aliambiwa kuwa Daudi yuko kwenye mbuga za Engedi. 2 Kisha Shauli aliwachukua askari 3,000 wateule waliokuwa bora zaidi…

1 Samueli 25

Samueli anafariki 1 Sasa, Samueli alifariki; nao Waisraeli wote wakakusanyika ili kumwombolezea. Wakamzika nyumbani kwake huko Rama. Daudi na Abigaili Kisha Daudi akaenda zake kwenye nyika za Parani. 2 Kulikuwa…

1 Samueli 26

Daudi anamhurumia tena Shauli 1 Baadhi ya wanaume kutoka mji wa Zifu walimwendea Shauli huko Gibea wakamwambia kwamba Daudi alikuwa anajificha kwenye mlima Hakila, upande wa mashariki wa Yeshimoni. 2…

1 Samueli 27

Daudi miongoni mwa Wafilisti 1 Daudi akajisemea moyoni, “Siku moja, Shauli ataniangamiza. Jambo jema kwangu ni kukimbilia katika nchi ya Wafilisti. Shauli atakata tamaa kunitafuta ndani ya mipaka ya nchi…

1 Samueli 28

1 Baada ya muda fulani, Wafilisti walikusanya majeshi yao tayari kwenda kupigana na Waisraeli. Akishi akamwambia Daudi, “Uelewe vizuri kwamba wewe na watu wako mnapaswa kwenda pamoja nami kupigana vita.”…

1 Samueli 29

Daudi akataliwa na Wafilisti 1 Wafilisti walikusanya majeshi yao yote huko Afeka, na Waisraeli walipiga kambi kwenye chemchemi ya bonde la Yezreeli. 2 Wakuu watano wa Wafilisti walipokuwa wakipita na…

1 Samueli 30

Vita dhidi ya Waamaleki 1 Siku ya tatu baadaye, Daudi na watu wake wakarudi Siklagi. Waamaleki walikuwa wamekwisha shambulia Negebu pamoja na mji wa Siklagi na kuuteketeza kwa moto. 2…