1 Samueli 31

Kifo cha Shauli na wanawe 1 Basi, Wafilisti walipigana vita dhidi ya Waisraeli; nao Waisraeli walikimbia mbele ya Wafilisti, na kuuawa katika mlima wa Gilboa. 2 Lakini Wafilisti wakamzingira Shauli…