1 Timotheo 1
1 Mimi Paulo, mtume wa Yesu Kristo kwa amri ya Mungu Mwokozi wetu na Yesu Kristo tumaini letu, 2 nakuandikia Timotheo mwanangu halisi katika imani. Nakutakia neema, huruma na amani…
1 Mimi Paulo, mtume wa Yesu Kristo kwa amri ya Mungu Mwokozi wetu na Yesu Kristo tumaini letu, 2 nakuandikia Timotheo mwanangu halisi katika imani. Nakutakia neema, huruma na amani…
Mafundisho kuhusu sala 1 Kwanza kabisa, nawasihi muombe dua, msali na kumshukuru Mungu kwa ajili ya watu wote, 2 kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, ili tupate kuishi…
Viongozi katika kanisa 1 Msemo huu ni wa kweli: Mtu anayetaka kuwa askofu, huyo anatamani kazi nzuri. 2 Basi, askofu anapaswa kuwa mtu asiye na lawama; anapaswa awe na mke…
Waalimu wa uongo 1 Roho asema waziwazi kwamba siku za baadaye watu wengine wataitupilia mbali imani; watazitii roho danganyifu na kufuata mafundisho ya pepo. 2 Mafundisho ya namna hiyo yanaenezwa…
Wajibu kwa waumini 1 Usimkemee mwanamume mzee, bali msihi kama vile angekuwa baba yako. Watendee vijana wa kiume kama ndugu zako, 2 wanawake wazee kama mama zako, na vijana wa…
1 Watumwa wote wanapaswa kuwaheshimu wakuu wao ili kusiwe na sababu ya watu kulitukana jina la Mungu na mafundisho yetu. 2 Watumwa ambao wakuu wao ni Wakristo wasiwadharau kwani ni…