1 Wafalme 1

Siku za mwisho za mfalme Daudi 1 Mfalme Daudi, wakati alipokuwa mzee sana, watumishi wake walimfunika kwa mablanketi, lakini hata hivyo, hakuweza kupata joto. 2 Kwa hivyo wakamwambia, “Bwana wetu…

1 Wafalme 2

Daudi anampa Solomoni wosia 1 Daudi alipokaribia kufariki, alimwita mwanawe Solomoni, akampa wosia akisema, 2 “Mwanangu, kama ilivyo kawaida kwa viumbe vyote kufa, siku zangu zimekwisha. Uwe imara na hodari….

1 Wafalme 3

Solomoni aomba hekima 1 Solomoni alifanya ushirikiano na Farao mfalme wa Misri, kwa kumwoa binti yake. Akamleta binti Farao na kumweka katika mji wa Daudi, mpaka alipomaliza kujenga nyumba yake…

1 Wafalme 4

Maofisa wa Solomoni 1 Solomoni alikuwa mfalme wa nchi yote ya Israeli, 2 na wafuatao walikuwa baadhi ya maofisa wake wa vyeo vya juu: Azaria, mwana wa Sadoki, alikuwa kuhani….

1 Wafalme 5

Solomoni ajitayarisha kujenga hekalu 1 Naye mfalme Hiramu wa Tiro, aliyekuwa rafiki ya Daudi, alipopata habari kwamba Solomoni amekuwa mfalme mahali pa baba yake, alituma watumishi kwake. 2 Ndipo Solomoni…

1 Wafalme 6

Solomoni ajenga hekalu 1 Solomoni alianza kujenga nyumba ya Mwenyezi-Mungu katika mwaka wa 480 baada ya Waisraeli kutoka Misri. Huo ulikuwa mwaka wa nne wa utawala wa Solomoni juu ya…

1 Wafalme 7

Ikulu ya Solomoni 1 Solomoni alijijengea ikulu, nayo ilimchukua miaka kumi na mitatu kumalizika. 2 Kisha, akajenga jengo lililoitwa Nyumba ya Msitu wa Lebanoni. Urefu wake ulikuwa mita 44.5, upana…

1 Wafalme 8

Sanduku la agano laletwa hekaluni 1 Basi, mfalme Solomoni akawakutanisha mbele yake huko Yerusalemu wazee na viongozi wote wa makabila na wa koo za Israeli ili waliondoe sanduku la agano…

1 Wafalme 9

Mungu amtokea Solomoni mara ya pili 1 Mfalme Solomoni alipomaliza kujenga nyumba ya Mwenyezi-Mungu na ikulu na majengo mengine yote aliyokusudia kujenga, 2 Mwenyezi-Mungu alimtokea tena kama alivyomtokea kule Gibeoni….

1 Wafalme 10

Ziara ya malkia wa Sheba 1 Malkia wa Sheba aliposikia sifa za Solomoni, kwa sababu ya jina la Mwenyezi-Mungu, alimwendea Solomoni ili kumjaribu kwa maswali magumu. 2 Aliwasili akiwa amefuatana…