1 Wakorintho 11

1 Niigeni mimi kama nami ninavyomwiga Kristo. Kufunika kichwa wakati wa ibada 2 Nawapeni hongera kwa sababu mnanikumbuka na kwa sababu mnayashikilia yale maagizo niliyowapeni. 3 Lakini napenda pia mjue…

1 Wakorintho 12

Vipaji vya Roho Mtakatifu 1 Ndugu, kuhusu vipaji vya kiroho, napenda mfahamu vizuri mambo haya: 2 Mnajua kwamba, kabla ya kuongoka kwenu, mlitawaliwa na kupotoshwa na sanamu tupu. 3 Basi,…

1 Wakorintho 13

Upendo 1 Hata kama nikinena lugha za watu na hata za malaika, lakini kama sina upendo mimi nimekuwa tu kama sauti ya debe tupu au kengele. 2 Tena, naweza kuwa…

1 Wakorintho 14

Vipaji vingine vya Roho Mtakatifu 1 Jitahidini kuwa na upendo. Vilevile fanyeni bidii ya kupata vipaji vingine vya kiroho, hasa kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu. 2 Mwenye kunena lugha…

1 Wakorintho 15

Ufufuo wa Kristo 1 Sasa, ndugu, napenda kuwakumbusha ile Habari Njema niliyowahubirieni, nanyi mkaipokea na kusimama imara ndani yake. 2 Kwa njia yake mnaokolewa, ikiwa mnayazingatia maneno niliyowahubirieni, na kama…

1 Wakorintho 16

Mchango wa kusaidia ndugu waumini 1 Sasa, yahusu ule mchango kwa ajili ya watu wa Mungu: Fanyeni kama nilivyoyaagiza makanisa ya Galatia. 2 Kila Jumapili kila mmoja wenu atenge kiasi…