1 Wamakabayo 1

Aleksanda Mkuu 1 Aleksanda wa Makedonia, mwana wa Filipo, aliyetoka nchini Kitimu, alimshambulia na kumshinda Dario, mfalme wa Persia na Media, akawa mfalme badala yake. Wakati huo Aleksanda alikwisha kuwa…

1 Wamakabayo 2

Uaminifu wa Matathia 1 Wakati huo, Matathia mwana wa Yohane na mjukuu wa Simeoni, kuhani wa ukoo wa Yoaribu, alitoka Yerusalemu akaenda kukaa Modeini. 2 Alikuwa na watoto watano wa…

1 Wamakabayo 3

Ushindi wa awali wa Yuda 1 Yuda Makabayo akachukua nafasi ya baba yake, Matathia, akawa kamanda wa jeshi. 2 Ndugu zake wote na wafuasi amini wa baba yake wakamuunga mkono,…

1 Wamakabayo 4

1 Gorgia akawachukua askari wa miguu 5,000 na wapandafarasi wenye uzoefu 1,000, akatoka nao usiku 2 kwenda kulishambulia ghafla jeshi la Wayahudi; walioongoza njia walikuwa walinzi wa ngome ya Yerusalemu….

1 Wamakabayo 5

Vita na mataifa jirani 1 Mataifa jirani yaliposikia kwamba Wayahudi walikuwa wamejenga upya madhabahu na hekalu limewekwa wakfu kama kwanza yaliwaka hasira, 2 yakaamua kuwaangamiza wazawa wa Yakobo waliokuwa wanaishi…

1 Wamakabayo 6

Kifo cha Antioko wa Nne 1 Mfalme Antioko wa Nne alipokuwa anapita Mesopotamia mikoa ya nyanda za juu alisikia habari za mji Elimaisi katika nchi ya Persia, ambao ulisifika sana…

1 Wamakabayo 7

Kuhani mkuu Alkimo na kampeni ya Nikanori 1 Mwaka 151,Demetrio mwana wa Seleuko aliondoka Roma, akawasili katika mji mmoja wa mwambao wa Bahari ya Mediteranea akiwa na watu wachache. Huko…

1 Wamakabayo 8

Mkataba na Waroma 1 Yuda alikuwa amesikia sifa ya Waroma, kwamba walikuwa na nguvu sana kijeshi. Alijua kwamba waliwakaribisha wale wote waliojiunga nao kama washirika, na kwamba wale waliojumuika nao…

1 Wamakabayo 9

Kifo cha Yuda 1 Demetrio aliposikia kwamba Nikanori na jeshi lake wameangamizwa vitani, akawapeleka tena nchini Yudea Bakide na Alkimo, pamoja na vikosi vya kulia vya jeshi lake. 2 Wakapita…

1 Wamakabayo 10

Aleksanda Epifane amfanya Yonathani kuhani mkuu 1 Mwaka 160,Aleksanda Epifane,mwana wa Antioko wa Nne, aliwasili Tolemai na kuuteka mji huo. Watu wakamkaribisha, naye akawa mfalme wao. 2 Mfalme Demetrio alipopata…