1 Wamakabayo 11
Kuanguka kwa Aleksanda Epifane 1 Mfalme Tolemai wa Sita wa Misri alikusanya jeshi la askari wengi zaidi kuliko mchanga wa pwani, akaandaa na meli nyingi. Lengo lake lilikuwa kumnasa Aleksanda,…
Kuanguka kwa Aleksanda Epifane 1 Mfalme Tolemai wa Sita wa Misri alikusanya jeshi la askari wengi zaidi kuliko mchanga wa pwani, akaandaa na meli nyingi. Lengo lake lilikuwa kumnasa Aleksanda,…
Ushirika na Roma na Sparta 1 Yonathani alipoona mambo yanamwendea vizuri, akachagua wajumbe na kuwatuma Roma kwenda kufufua na kuthibitisha urafiki na Waroma. 2 Aidha alipeleka barua zenye ujumbe kama…
Simoni awaongoza Wayahudi 1 Simoni alisikia kwamba Trifo alikuwa amekusanya jeshi kubwa, kuivamia nchi ya Yudea na kuiangamiza. 2 Aliona pia kwamba watu walikuwa wanatetemeka kwa hofu. Basi, akaenda Yerusalemu,…
Sifa za Simoni 1 Mwaka 172,mfalme Demetrio wa Pili alikusanya jeshi lake na kwenda Media kutafuta msaada zaidi kwa ajili ya vita dhidi ya Trifo. 2 Arsake wa Sita, mfalme…
Antioko wa Saba aomba msaada kwa Simoni 1 Kutoka visiwani baharini, Antioko mwana wa mfalme Demetrio, aliandika barua ifuatayo kwa Simoni, kuhani mkuu na kiongozi wa Wayahudi, na kwa taifa…
1 Yohane, mwana wa Simoni, akaondoka Gazara, akaenda kumwarifu baba yake mambo aliyokuwa amefanya Kendebeo. 2 Simoni akawaambia Yohane na Yuda, wanawe wakubwa, “Mimi na ndugu zangu, na familia yote…