1 Wathesalonike 1

1 Mimi Paulo, Silwano na Timotheo, kwa jumuiya ya kanisa la Thesalonike, ambayo ni watu wake Mungu Baba, na wa Bwana Yesu Kristo. Tunawatakieni neema na amani. Maisha na imani…

1 Wathesalonike 2

Utumishi wa Paulo huko Thesalonike 1 Ndugu, nyinyi wenyewe mnafahamu kwamba ziara yetu kwenu haikuwa bure. 2 Mnajua jinsi tulivyodhulumiwa na kutukanwa kule Filipi kabla ya kufika kwenu Thesalonike. Ingawa…

1 Wathesalonike 3

1 Mwishowe hatukuweza kuvumilia zaidi. Basi, tuliamua kubaki kule Athene peke yetu, 2 na kumtuma kwenu ndugu yetu Timotheo, ambaye ni mfanyakazi mwenzetu kwa ajili ya Mungu katika kuhubiri Habari…

1 Wathesalonike 4

Maisha yampendezayo Mungu 1 Hatimaye, ndugu zangu, mmejifunza kutoka kwetu namna mnavyopaswa kuishi ili kumpendeza Mungu. Na kweli mmekuwa mnaishi hivyo. Sasa tunawaombeni na kuwasihi kwa jina la Bwana Yesu…

1 Wathesalonike 5

Muwe tayari kwa siku ya Bwana 1 Ndugu, hakuna haja ya kuwaandikieni juu ya nyakati na majira ya mambo haya yatakapotukia. 2 Maana nyinyi wenyewe mwajua kwamba siku ya Bwana…