2 Mambo ya Nyakati 11

Unabii wa Shemaya 1 Rehoboamu alipofika Yerusalemu, alikusanya askari stadi180,000 wa makabila ya Yuda na Benyamini, apate kupigana na Israeli, ili ajirudishie huo ufalme. 2 Lakini ujumbe wa Mungu ulimjia…

2 Mambo ya Nyakati 12

Wamisri waivamia Yuda 1 Ikawa utawala wa Rehoboamu ulipokwisha imarika na kuwa na nguvu, yeye pamoja na watu wake wote waliacha kutii sheria ya Mwenyezi-Mungu. 2 Katika mwaka wa tano…

2 Mambo ya Nyakati 13

Vita kati ya Abiya na Yeroboamu 1 Abiya alianza kutawala Yuda mnamo mwaka wa kumi na nane wa utawala wa mfalme Yeroboamu. 2 Alitawala kwa muda wa miaka mitatu akiwa…

2 Mambo ya Nyakati 14

Mfalme Asa awashinda Waethiopia 1 Mwishowe, Abiya alifariki na kuzikwa katika mji wa Daudi na Asa mwanawe akatawala mahali pake. Wakati wa Asa, kulikuwa na amani nchini kwa muda wa…

2 Mambo ya Nyakati 15

Asa afanya matengenezo 1 Roho ya Mungu ilimjia Azaria mwana wa Odedi, 2 naye akatoka kwenda kumlaki mfalme Asa, akamwambia, “Nisikilize, ee mfalme Asa na watu wote wa Yuda na…

2 Mambo ya Nyakati 16

Yuda na Israeli zafarakana 1 Katika mwaka wa thelathini na sita wa utawala wa mfalme Asa, Baasha, mfalme wa Israeli, aliishambulia nchi ya Yuda na kuanza kuujenga mji wa Rama…

2 Mambo ya Nyakati 17

Yehoshafati atawazwa kuwa mfalme 1 Naye Yehoshafati mwanawe alitawala mahali pa baba yake Asa, akajiimarisha dhidi ya Israeli. 2 Aliweka majeshi katika miji yote ya Yuda yenye ngome, na katika…

2 Mambo ya Nyakati 18

Nabii Mikaya amwonya Ahabu 1 Wakati mfalme Yehoshafati wa Yuda alipokuwa amekwisha kuwa mtu tajiri na mwenye heshima, alifanya mpango wa ndoa baina ya jamaa yake, na jamaa ya mfalme…

2 Mambo ya Nyakati 19

Mwonaji Yehu amkaripia Yehoshafati 1 Mfalme Yehoshafati wa Yuda alirejea salama katika ikulu yake mjini Yerusalemu. 2 Lakini mwonaji Yehu mwana wa Hanani, alikwenda kumlaki mfalme, akamwambia, “Je, unadhani ni…

2 Mambo ya Nyakati 20

Vita dhidi ya Edomu 1 Baada ya muda, majeshi ya Moabu na Amoni pamoja na baadhi ya Wameuni,waliivamia Yuda. 2 Watu kadhaa walikuja wakamwambia mfalme Yehoshafati, “Jeshi kubwa limekuja kukushambulia…