2 Mambo ya Nyakati 31

Matengenezo ya ibada 1 Baada ya sherehe kumalizika, watu wote wa Israeli walikwenda katika kila mji wa Yuda, wakavunjavunja nguzo za mawe na kuzikatakata sanamu za Ashera, mungu wa kike,…

2 Mambo ya Nyakati 32

Waashuru waitisha Yerusalemu 1 Baada ya mambo yote hayo ya uaminifu ya mfalme Hezekia, mfalme Senakeribu wa Ashuru aliivamia Yuda. Alikuja akapiga makambi kwenye miji yenye ngome akitumaini kwamba ataishinda…

2 Mambo ya Nyakati 33

Mfalme Manase wa Yuda 1 Manase alikuwa na umri wa miaka kumi na miwili alipoanza kutawala, akatawala kutoka Yerusalemu kwa muda wa miaka hamsini na mitano. 2 Alitenda maovu mbele…

2 Mambo ya Nyakati 34

Mfalme Yosia wa Yuda 1 Yosia alikuwa na umri wa miaka minane alipoanza kutawala; alitawala miaka thelathini na mmoja huko Yerusalemu. 2 Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu. Alifuata njia zake…

2 Mambo ya Nyakati 35

Yosia aadhimisha Pasaka 1 Mfalme Yosia aliadhimisha Pasaka mjini Yerusalemu, wakachinja wanakondoo wa Pasaka siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza. 2 Aliwateua makuhani kwa kazi zao ambazo…

2 Mambo ya Nyakati 36

Mfalme Yehoahazi wa Yuda 1 Watu wa Yuda walimtwaa Yehoahazi, mwana wa Yosia, wakamtawaza awe mfalme mahali pa baba yake. 2 Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitatu…