2 Samueli 1

Daudi anahabarishwa juu ya kifo cha Shauli 1 Baada ya kifo cha Shauli, Daudi alirudi baada ya kuwashinda Waamaleki, akakaa Siklagi kwa muda wa siku mbili. 2 Siku iliyofuata, mtu…

2 Samueli 2

Daudi anafanywa mfalme wa Yuda 1 Baada ya mambo haya, Daudi alimwomba Mwenyezi-Mungu shauri, akasema, “Je, niende kwenye mji mmojawapo wa miji ya Yuda?” Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Nenda!” Daudi akamwuliza, “Niende…

2 Samueli 3

1 Kulikuwa na vita vya muda mrefu kati ya watu walioiunga mkono jamaa ya Shauli, na wale walioiunga mkono jamaa ya Daudi. Lakini Daudi alizidi kupata nguvu zaidi na zaidi,…

2 Samueli 4

Ishboshethi anauawa 1 Ishboshethi mwana wa Shauli, aliposikia kwamba Abneri ameuawa huko Hebroni, alivunjika moyo na watu wote wa Israeli walifadhaika. 2 Ishboshethi mwana wa Shauli, alikuwa na watu wawili…

2 Samueli 5

Daudi awa mfalme wa Israeli na Yuda 1 Kisha makabila yote ya Israeli yalimwendea Daudi huko Hebroni, na kumwambia, “Tazama, sisi ni mwili na damu yako. 2 Hapo awali, Shauli…

2 Samueli 6

Sanduku la agano lapelekwa Yerusalemu 1 Kwa mara nyingine, Daudi aliwakusanya wale askari bora wa Israeli, jumla yao 30,000. 2 Daudi aliondoka akaenda pamoja na watu wake wote aliokuwa nao…

2 Samueli 7

Unabii wa Nathani kwa Daudi 1 Wakati mfalme Daudi alipokuwa akikaa katika ikulu, naye Mwenyezi-Mungu amemuwezesha kuwa na amani na adui zake kila upande, 2 mfalme Daudi akamwambia nabii Nathani,…

2 Samueli 8

Ushindi wa kijeshi wa Daudi 1 Baada ya hayo, Daudi aliwapiga, akawashinda Wafilisti. Akauteka mji wa Metheg-ama kutoka utawala wa Wafilisti. 2 Kisha aliwashinda Wamoabu. Aliwapanga katika mistari mateka hao,…

2 Samueli 9

Daudi na Mefiboshethi 1 Siku moja, Daudi aliuliza, “Je, kuna mtu yeyote aliyesalia katika jamaa ya Shauli? Kama yuko, ningependa kumtendea wema kwa ajili ya Yonathani.” 2 Kulikuwa na mtumishi…

2 Samueli 10

Daudi awashinda Waamori na Waashuru 1 Baada ya hayo mfalme Nahashi wa Waamori akafa, na mwanawe aliyeitwa Hanuni akawa mfalme badala ya baba yake. 2 Mfalme Daudi akasema, “Nitamtendea wema…