2 Samueli 21

Wazawa wa Shauli wanauawa 1 Wakati mmoja kulitokea njaa kali nchini Daudi akiwa mfalme. Njaa hiyo ilidumu miaka mitatu mfululizo. Daudi alimwomba Mwenyezi-Mungu shauri. Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Shauli na jamaa yake…

2 Samueli 22

Wimbo wa ushindi wa Daudi 1 Daudi alimwimbia Mwenyezi-Mungu maneno ya wimbo ufuatao siku ile Mwenyezi-Mungu alipomkomboa mikononi mwa adui zake, na mkononi mwa Shauli. 2 Alisema, “Mwenyezi-Mungu ni mwamba…

2 Samueli 23

Maneno ya mwisho ya Daudi 1 Yafuatayo ni maneno ya mwisho ya Daudi. Ni ujumbe wa Daudi mwana wa Yese; ujumbe wa mtu ambaye Mungu alimfanya awe mkuu. Mungu wa…

2 Samueli 24

Daudi anawahesabu Waisraeli 1 Kwa mara nyingine, Mwenyezi-Mungu aliwakasirikia Waisraeli, akamchochea Daudi dhidi yao, akamwambia awahesabu watu wa Israeli na watu wa Yuda. 2 Hivyo, mfalme akamwambia Yoabu, na makamanda…