2 Timotheo 1
1 Mimi Paulo, ambaye Mungu alitaka niwe mtume wa Kristo Yesu ili niutangaze ule uhai tulioahidiwa katika kuungana na Kristo Yesu, 2 nakuandikia wewe mwanangu mpenzi Timotheo. Nakutakia neema, huruma…
1 Mimi Paulo, ambaye Mungu alitaka niwe mtume wa Kristo Yesu ili niutangaze ule uhai tulioahidiwa katika kuungana na Kristo Yesu, 2 nakuandikia wewe mwanangu mpenzi Timotheo. Nakutakia neema, huruma…
Askari mwaminifu wa Yesu Kristo 1 Basi, wewe mwanangu, uwe na nguvu katika neema tunayopata katika kuungana na Kristo Yesu. 2 Chukua yale mafundisho uliyonisikia nikitangaza mbele ya mashahidi wengi,…
Siku ya mwisho 1 Kumbuka kwamba, katika siku za mwisho kutakuwa na nyakati za taabu. 2 Watu watakuwa na ubinafsi, wenye tamaa ya fedha, wenye majivuno, wenye kujiona, wenye kumtukana…
1 Nakuamuru mbele ya Mungu, na mbele ya Kristo Yesu atakayewahukumu watu walio hai na wafu, na kwa sababu anakuja kutawala akiwa Mfalme: 2 Hubiri huo ujumbe, sisitiza kuutangaza (iwe…