2 Wafalme 21

Mfalme Manase wa Yuda 1 Manase alikuwa na umri wa miaka kumi na miwili alipoanza kutawala Yuda, akatawala kutoka Yerusalemu kwa muda wa miaka hamsini na mitano. 2 Alitenda maovu…

2 Wafalme 22

Mfalme Yosia wa Yuda 1 Yosia alikuwa na umri wa miaka minane alipoanza kutawala huko Yerusalemu, akatawala kwa miaka thelathini na mmoja. Mama yake alikuwa Yedida, binti Adaya, mkazi wa…

2 Wafalme 23

Mfalme Yosia aondoa ibada za miungu 1 Kisha mfalme alituma wajumbe, nao wakamkusanyia viongozi wote wa Yuda na wa Yerusalemu. 2 Naye mfalme akaenda katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu akifuatana na…

2 Wafalme 24

1 Nebukadneza mfalme wa Babuloni aliishambulia Yuda. Yehoyakimu, alimtumikia kwa miaka mitatu halafu aliacha kumtii, akamwasi. 2 Basi, Mwenyezi-Mungu akampelekea makundi ya Wababuloni, Waaramu, Wamoabu na Waamoni washambulie nchi ya…

2 Wafalme 25

Maangamizi ya Yerusalemu 1 Katika siku ya kumi ya mwezi wa kumi wa mwaka wa tisa wa utawala wake Sedekia, Nebukadneza mfalme wa Babuloni alifika na jeshi lake, akaushambulia mji…