2 Wamakabayo 1
1 “Kutoka kwa Wayahudi wa Yerusalemu na Yudea, kwa ndugu zao walio Misri. Salamu na amani! 2 “Mungu awafanikishe, na kulitekeleza agano lake alilofanya na watumishi wake waaminifu: Abrahamu, Isaka,…
1 “Kutoka kwa Wayahudi wa Yerusalemu na Yudea, kwa ndugu zao walio Misri. Salamu na amani! 2 “Mungu awafanikishe, na kulitekeleza agano lake alilofanya na watumishi wake waaminifu: Abrahamu, Isaka,…
Yeremia aficha Hema 1 “Kutokana na kumbukumbu za maandishi tunajua kwamba nabii Yeremia aliwaagiza watu waliokuwa wanapelekwa uhamishoni wafiche kiasi fulani cha moto wa madhabahuni, kama tulivyokwisha eleza. 2 Tunajua…
Ubishi kati ya Onia na Simoni 1 Wakati Oniaalipokuwa kuhani mkuu, mji mtakatifu ulikuwa na amani na ustawi, na sheria zilishikwa kiaminifu kabisa, kwa sababu Onia alikuwa mcha Mungu na…
Simoni amshtaki Onia 1 Lakini Simoni (aliyetajwa huko nyuma kwamba alimwarifu Apolonio kuhusu hiyo fedha na hivi akasababisha matatizo kwa taifa) alimsingizia Onia, akidai eti yeye ndiye aliyemchochea Heliodoro na…
Maono na mapigano angani 1 Yapata wakati huo huo, Antioko wa Nne aliishambulia Misri kwa mara ya pili. 2 Kwa siku karibu arubaini, kila mahali Yerusalemu watu walipata maono, wakaona…
Wayahudi wadhulumiwa kwa sababu ya imani yao 1 Baada ya muda si mrefu, mfalme alimtuma mzee mmoja Mwathene kuwashurutisha Wayahudi kuachilia mbali dini yao na mila na desturi za wazee…
Mama na wanawe waifia imani yao 1 Wakati mmoja mama wa Kiyahudi na wanawe saba walishikwa. Mfalme alitoa amri wapigwe fimbo na mijeledi mpaka wale nyama ya nguruwe. 2 Ndipo…
Maasi ya Yuda Makabayo 1 Yuda ambaye aliitwa pia Makabayo na rafiki zake walikwenda kwa siri vijijini ambako walikusanya jeshi la wanaume wa Kiyahudi wapatao 6,000, ambao walikuwa wanashikilia bado…
Bwana amwadhibu mfalme Antioko 1 Yapata wakati huo huo, Antioko alikuwa anarudi nyuma na ghasia kutoka Persia, 2 ambako alikuwa ameingia katika mji wa Persepoli na kujaribu kuyaibia mahekalu na…
Kutakaswa hekalu 1 Yuda Makabayo na wafuasi wake, chini ya uongozi wa Bwana, walitwaa tena hekalu na mji wa Yerusalemu. 2 Wakazibomolea mbali madhabahu zilizokuwa zimejengwa na wageni sokoni, wakapaharibu…