2 Wathesalonike 1
1 Mimi Paulo, Silwano na Timotheo, kwa jumuiya ya kanisa la Thesalonike, ambayo ni watu wake Mungu Baba yetu na wa Bwana Yesu Kristo. 2 Tunawatakieni neema na amani kutoka…
1 Mimi Paulo, Silwano na Timotheo, kwa jumuiya ya kanisa la Thesalonike, ambayo ni watu wake Mungu Baba yetu na wa Bwana Yesu Kristo. 2 Tunawatakieni neema na amani kutoka…
Yule Mwovu 1 Sasa yahusu kuja kwake Bwana wetu Yesu Kristo na kukusanywa kwetu pamoja, tukae naye. Ndugu, tunawaombeni sana 2 msifadhaike upesi moyoni, na wala msitiwe wasiwasi kwa sababu…
Tuombeeni kwa Mungu 1 Hatimaye, ndugu, tuombeeni ili ujumbe wa Bwana uzidi kuenea upesi na kupokelewa kwa heshima kama vile ulivyo kati yenu. 2 Ombeni pia ili Mungu atuokoe na…