Danieli 1

Danieli na wenzake katika jumba la mfalme 1 Mnamo mwaka wa tatu wa utawala wa mfalme Yehoyakimu wa Yuda, mfalme Nebukadnezawa Babuloni alikwenda Yerusalemu, akauzingira mji. 2 Bwana akamwacha Yehoyakimu…

Danieli 2

Ndoto ya mfalme Nebukadneza 1 Mnamo mwaka wa pili wa utawala wake, mfalme Nebukadneza aliota ndoto, akawa na wasiwasi sana rohoni hata usingizi ukamtoweka. 2 Basi, mfalme akaamuru waganga, walozi…

Danieli 3

Nebukadneza anasimamisha sanamu 1 Mfalme Nebukadneza alitengeneza sanamu ya dhahabu, yenye kimo mita ishirini na nane na upana mita tatu. Aliisimamisha katika sehemu tambarare ya Dura, mkoani Babuloni. 2 Kisha…

Danieli 4

Ndoto ya pili ya mfalme Nebukadneza 1 “Mimi mfalme Nebukadneza, nawaandikia watu wa makabila yote, mataifa yote na lugha zote kote duniani. Nawatakieni amani tele! 2 Nimeona vema kuwajulisha ishara…

Danieli 5

Karamu ya Belshaza 1 Siku moja mfalme Belshaza aliwaandalia karamu kubwa maelfu ya wakuu wake na kunywa divai pamoja nao. 2 Kutokana na kunywa divai, mfalme Belshaza akatoa amri vile…

Danieli 6

Njama za kumwangamiza Danieli 1 Mfalme Dario aliamua kuteua wakuu 120 kusimamia mambo ya utawala. 2 Aliwateua pia wakuu watatu, Danieli akiwa mmojawapo, wawasimamie wale wakuu wengine na maslahi ya…

Danieli 7

Wanyama wanne wakubwa 1 Mnamo mwaka wa kwanza wa utawala wa mfalme Belshaza wa Babuloni, Danieli aliota ndoto na kuona maono akiwa amelala kitandani mwake. Aliiandika ndoto yake hii: 2…

Danieli 8

Maono juu ya kondoo na mbuzi 1 “Mnamo mwaka wa tatu wa utawala wa mfalme Belshaza, maono mengine yalinijia mimi Danieli, licha ya maono yale ya kwanza. 2 Katika maono…

Danieli 9

Danieli awaombea watu wake 1 “Katika mwaka Dario mwana wa Ahasuero, Mmedi, alipoanza kutawala juu ya milki ya Wakaldayo, 2 mimi Danieli nilikuwa nikivisoma kwa makini vitabu vitakatifu, na humo…

Danieli 10

Maono ya Danieli kando ya mto Tigri 1 Mnamo mwaka wa tatu wa utawala wa mfalme Koreshi wa Persia, Danieli, aliyeitwa pia Belteshaza, alipewa ufunuo. Ufunuo huo ulikuwa wa kweli,…