Esta 1

Malkia Vashti aasi amri ya mfalme Ahasuero 1 Mfalme Ahasuero,alipotawala ufalme wake ulikuwa mikoa 127, toka India hadi Kushi. 2 Kiti chake cha enzi kilikuwa katika mji mkuu Susa. 3…

Esta 2

Esta anateuliwa kuwa malkia 1 Baadaye, hasira yake ilipokwisha tulia, mfalme Ahasuero alimkumbuka Vashti, akawa anatafakari juu ya ukaidi wake na hatua iliyochukuliwa dhidi yake. 2 Basi, watumishi wake, waliokuwa…

Esta 3

Hamani ala njama kuwaangamiza Wayahudi 1 Baada ya mambo hayo, mfalme Ahasuero alimpandisha cheo Hamani, akawa waziri mkuu. Hamani alikuwa mwanawe Hamedatha, na wa uzao wa Agagi. 2 Mfalme aliamuru…

Esta 4

Mordekai aomba msaada wa Esta 1 Mordekai alipojua yote yaliyotukia, alizirarua nguo zake, akavaa vazi la gunia, na kujitia majivu. Kisha, akapita katikati ya mji akilia kwa sauti ya uchungu….

Esta 5

Esta awaalika mfalme na Hamani karamuni 1 Siku ya tatu ya mfungo wake, Esta alivalia mavazi yake ya kimalkia, akaenda akasimama katika ua wa ndani wa nyumba ya mfalme, kuelekea…

Esta 6

Mordekai atunukiwa heshima na mfalme 1 Usiku huo, mfalme hakupata usingizi. Basi, akaamuru kitabu cha kumbukumbu za matukio ya kila siku kiletwe, nacho kikasomwa mbele yake. 2 Ikaonekana ilivyoandikwa jinsi…

Esta 7

1 Hivyo mfalme na Hamani wakaenda kula karamu na malkia Esta. 2 Katika siku ya pili, walipokuwa wanakunywa divai, mfalme akamwuliza tena Esta, “Sasa, malkia Esta, unataka nini? Niambie, nawe…

Esta 8

Wayahudi waruhusiwa kujihami 1 Siku hiyohiyo, mfalme Ahasuero alimkabidhi malkia Esta mali yote ya Hamani, adui ya Wayahudi. Esta akamjulisha mfalme kwamba Mordekai ni jamaa yake. Basi, tangu wakati huo,…

Esta 9

Wayahudi wawashinda adui zao 1 Siku ya kumi na tatu ya mwezi wa kumi na mbili, yaani mwezi wa Adari, ilipofika, siku ambayo tangazo la mfalme lingetekelezwa, na maadui wa…

Esta 10

Ukuu wa Ahasuero na Mordekai 1 Mfalme Ahasuero alitoza kodi watu wa bara na pwani. 2 Matendo yake yote makuu na ya ajabu, pamoja na simulizi kamili kuhusu jinsi alivyompandisha…