Ezekieli 1

Kiti cha enzi cha Mungu 1 Mnamo siku ya tano ya mwezi wa nne, mwaka wa thelathini,nilikuwa Babuloni kwenye mto Kebari miongoni mwa wale watu waliopelekwa uhamishoni. Basi, mbingu zilifunguka,…

Ezekieli 2

Ezekieli anaitwa kuwa nabii 1 Naye akaniambia, “Wewe mtu! Simama wima. Nataka kuongea nawe.” 2 Alipokuwa akiongea nami, roho ya Mungu ikaniingia na kunisimamisha wima. Ndipo nikamsikia 3 akiniambia, “Wewe…

Ezekieli 3

1 Akaniambia, “Wewe mtu, kula unachopewa; kula kitabu hiki kisha uende ukawaeleze Waisraeli.” 2 Kwa hiyo nilifumbua kinywa changu, naye akanilisha hicho kitabu. 3 Halafu akaniambia, “Wewe mtu, kula kitabu…

Ezekieli 4

Mji wa Yerusalemu utazingirwa 1 “Wewe mtu, chukua tofali, uliweke mbele yako; kisha chora juu yake ramani ya mji wa Yerusalemu. 2 Onesha kuwa umezingirwa. Chora ngome dhidi yake na…

Ezekieli 5

Ezekieli ananyoa nywele zake 1 Mwenyezi-Mungu aliniambia, “Wewe mtu, jipatie upanga mkali, uutumie kama wembe wa kinyozi. Upitishe kichwani pako na kidevuni ili kunyoa nywele zako pamoja na ndevu zako….

Ezekieli 6

Lawama kwa wanaoabudu sanamu 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Wewe mtu, igeukie milima ya Israeli, utangaze ujumbe huu wangu dhidi ya wakazi wake 3 na kusema: Sikilizeni neno la…

Ezekieli 7

Mwisho wa Israeli ni karibu 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Wewe mtu, waambie wakazi wa nchi ya Israeli kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Sasa ni mwisho! Mwisho umeifikia…

Ezekieli 8

Ibada za sanamu mjini Yerusalemu 1 Katika mwaka wa sita, siku ya tano ya mwezi wa sita, nilikuwa nyumbani kwangu pamoja na wazee wa Yuda. Basi, ghafla nikakumbwa na nguvu…

Ezekieli 9

Kuadhibiwa kwa Yerusalemu 1 Kisha nikamsikia Mwenyezi-Mungu akisema kwa sauti kubwa: “Njoni karibu nyinyi mtakaouadhibu mji huu. Njoni na silaha zenu za kuangamiza.” 2 Watu sita wakaja kutoka upande wa…

Ezekieli 10

Utukufu wa Mwenyezi-Mungu unaondoka hekaluni 1 Kisha nikaona kwamba katika lile anga juu ya vichwa vya viumbe wenye mabawa kulikuwa na kitu kinachofanana na johari ya rangi ya samawati, umbo…