Ezekieli 21

Upanga wa Mwenyezi-Mungu 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Wewe mtu, ugeukie mji wa Yerusalemu, uhubiri dhidi ya sehemu zake za ibada, na kutoa unabii juu ya nchi ya Israeli….

Ezekieli 22

Makosa ya Yerusalemu 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Ewe mtu! Uko tayari kutoa hukumu, kuuhukumu mji huu wa wauaji? Basi, ujulishe machukizo yake yote. 3 Uambie, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu…

Ezekieli 23

Samaria ni mzinzi 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Wewe mtu! Palikuwa na binti wawili, wote wa mama mmoja. 3 Walipokuwa vijana tu, wakiwa wanakaa kule Misri, wakakubali matiti yao…

Ezekieli 24

Chungu kibovu 1 Mnamo siku ya kumi, mwezi wa kumi, mwaka wa tisa tangu kuhamishwa kwetu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Wewe mtu! Andika tarehe ya siku ya leo, maana…

Ezekieli 25

Unabii dhidi ya Amoni 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Wewe mtu! Wageukie Waamoni, ukatoe unabii dhidi yao. 3 Waambie Waamoni: Sikilizeni neno la Bwana Mwenyezi-Mungu: Nyinyi mlifurahia kuona maskani…

Ezekieli 26

Unabii juu ya Tiro 1 Mnamo siku ya kwanza ya mwezi, mwaka wa kumi na moja tangu kuhamishwa kwetu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Wewe mtu! Watu wa Tiro wameucheka…

Ezekieli 27

Maombolezo juu ya Tiro 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Sasa ewe mtu, imba utenzi huu wa maombolezo juu ya mji wa Tiro, 3 mji ule kando ya bahari, unaofanya…

Ezekieli 28

Unabii juu ya mfalme wa Tiro 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Wewe mtu! Mwambie mfalme wa Tiro kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Wewe una kiburi cha moyo, na…

Ezekieli 29

Unabii dhidi ya Misri 1 Siku ya kumi na mbili ya mwezi wa kumi, mwaka wa kumi tangu uhamisho wetu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Wewe mtu! Mgeukie Farao mfalme…

Ezekieli 30

Mwenyezi-Mungu ataiadhibu Misri 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Wewe mtu! Toa unabii useme kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Ombolezeni na kusema: ‘Ole wetu siku ile!’ 3 Kwa maana,…