Ezekieli 31

Misri inalinganishwa na mwerezi 1 Mnamo siku ya kwanza ya mwezi wa tatu, mwaka wa kumi na moja tangu uhamisho wetu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Wewe mtu! Mwambie hivi…

Ezekieli 32

Farao analinganishwa na mamba 1 Siku ya kwanza ya mwezi wa kumi na mbili, mwaka wa kumi na mbili tangu uhamisho wetu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Wewe mtu! Imba…

Ezekieli 33

Ezekieli atakuwa mlinzi 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Wewe mtu! Ongea na wananchi wenzako, uwaambie hivi: Kama nikizusha vita katika nchi fulani, na watu wa nchi hiyo wakamchagua mmoja…

Ezekieli 34

Wachungaji wa Israeli 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Wewe mtu! Toa unabii dhidi ya wachungaji wa Israeli. Waambie hao wachungaji kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Ole wenu nyinyi…

Ezekieli 35

Unabii juu ya Edomu 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Wewe mtu! Ugeukie mlima Seiri, utoe unabii juu ya wakazi wake. 3 Uambie kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Mimi…

Ezekieli 36

Mungu ataibariki Israeli 1 Mwenyezi-Mungu aliniambia: “Wewe mtu! Toa unabii kuhusu milima ya Israeli. Iambie isikilize maneno yangu 2 mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Maadui zenu wamewazomea na kusema kuwa…

Ezekieli 37

Bonde la mifupa mikavu 1 Mimi Ezekieli nilikumbwa na uzito wa nguvu ya Mwenyezi-Mungu, naye akaninyanyua kwa roho yake na kuniweka katika bonde lililokuwa limejaa mifupa. 2 Basi, akanitembeza kila…

Ezekieli 38

Mfalme Gogu chombo cha Mungu 1 Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia: 2 “Wewe mtu! Mgeukie Gogu mfalme wa nchi ya Magogu ambaye ni mtawala mkuu wa Mesheki na Tubali. 3 Toa…

Ezekieli 39

Kushindwa kwa Gogu 1 Bwana Mwenyezi-Mungu aliniambia, “Wewe mtu! Toa unabii dhidi ya Gogu. Mwambie, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Mimi nitapambana nawe Gogu mtawala mkuu wa mataifa ya Mesheki…

Ezekieli 40

Ezekieli anapelekwa Yerusalemu 1 Mwaka wa ishirini na tano tangu kuhamishwa kwetu, siku ya kumi ya mwezi wa kwanza, siku hiyo niliusikia uzito wa nguvu ya Mwenyezi-Mungu. Ilikuwa mwaka wa…