Ezekieli 41

1 Kisha, yule mtu akanipeleka kwenye ukumbi wa ndani, mahali patakatifu. Akaipima nafasi iliyoelekea humo ndani, nayo ilikuwa na kina cha mita 3, 2 na upana wa mita 5. Nafasi…

Ezekieli 42

Majengo mawili karibu na hekalu 1 Kisha yule mtu alinipeleka kwenye uwanja wa nje hadi kwenye jengo lililokuwa upande wa kaskazini, naye akaniingiza kwenye vyumba vilivyokabili ua wa hekalu na…

Ezekieli 43

Mwenyezi-Mungu anarudi hekaluni 1 Kisha, yule mtu akanipeleka kwenye lango linaloelekea mashariki. 2 Utukufu wa Mungu wa Israeli ulitokea upande wa mashariki. Pamoja nao kulikuwapo mshindo wa kuja kwake kama…

Ezekieli 44

Matumizi ya lango la Mashariki 1 Yule mtu akanirudisha kwenye lango la nje linaloelekea mashariki, nje ya patakatifu, nalo lilikuwa limefungwa. 2 Mwenyezi-Mungu akaniambia: “Lango hili litaendelea kufungwa. Hakuna mtu…

Ezekieli 45

Ardhi takatifu kandokando ya hekalu 1 “Mtakapoigawanya nchi kwa kura ili kila kabila lipate sehemu yake, sehemu moja ya nchi ni lazima iwekwe wakfu kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu. Urefu wake…

Ezekieli 46

1 “Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Lango la ua wa ndani unaoelekea mashariki litafungwa siku zote sita za kazi. Siku za sabato na siku za mwezi mwandamo litafunguliwa. 2 Toka…

Ezekieli 47

Chemchemi itokayo hekaluni 1 Yule mtu akanirudisha kwenye kiingilio cha hekalu. Huko, maji yalikuwa yakitoka chini ya kizingiti cha hekalu kuelekea upande wa mashariki, (kwa maana hekalu lilielekea mashariki). Maji…

Ezekieli 48

Eneo la makabila huko Kaskazini 1 Haya ndiyo majina ya makabila na sehemu zao: Kuanzia mpaka wa kaskazini kwenye barabara ya Hethloni hadi kuingia Hamathi hadi mji wa Hazar-enoni (ulioko…