Hekima ya Solomoni 1

Ukweli wa Mungu waleta uhai 1 Pendeni haki, enyi watawala wa dunia! Jiaminisheni kikamilifu kwa Bwana. na kumtafuta kwa moyo mnyofu. 2 Maana yeye huwajalia wanaojiaminisha kwake wampate; hujionesha kwa…

Hekima ya Solomoni 2

1 Katika upotovu wao huambiana: “Maisha yetu ni mafupi na yenye taabu. Kifo kinapowasili hakuna dawa ya kuepukana nacho. Hakuna mtu aliyewahi kumtoa mwingine ahera. 2 Sisi tulizaliwa kwa bahati…

Hekima ya Solomoni 3

1 Lakini watu wanyofu wako mikononi mwa Mungu, Mateso yoyote hayatawapata kamwe. 2 Kwa wapumbavu walionekana kwamba wamekufa na kwamba kufariki kwao kulikuwa jambo baya; 3 kuondoka kwao kwetu kulidhaniwa…

Hekima ya Solomoni 4

1 Afadhali kukosa watoto na kuwa mnyofu, maana unyofu wako utakumbukwa milele, na unatambuliwa na Mungu na wanaadamu. 2 Unyofu wako utawapa watu fursa ya kuuiga, na usipokuwapo watu watasikitika…

Hekima ya Solomoni 5

1 Siku hiyo, mtu mwema atasimama kwa ujasiri mwingi, mbele yao hao waliokuwa wanamtesa na wale ambao walipuuza kazi zake. 2 Watakapomwona watatetemeka kwa hofu kubwa, watashangaa ameokolewaje bila wao…

Hekima ya Solomoni 6

Jukumu la watawala 1 Sikilizeni basi, enyi wafalme, mkaelewe; jifunzeni, enyi waamuzi popote duniani. 2 Tegeni sikio nyinyi mnaotawala watu wengi, na kujisifia wingi wa mataifa. 3 Mamlaka hayo mlipewa…

Hekima ya Solomoni 7

Mfalme ni sawa na watu wengine 1 Mimi ni binadamu ambaye hufa, sawa na wengine, mzawa wa yule mtu wa kwanza aliyeumbwa kutoka kwa udongo. Nilitengenezwa nikawa mwili tumboni mwa…

Hekima ya Solomoni 8

1 Nguvu ya Hekima huenea kila mahali duniani na kuweka kila kitu katika mpango mzuri. Upendo wa Solomoni kwa Hekima 2 Nilimpenda Hekima na kumtafuta tangu ujana wangu; nilitamani kumchukua…

Hekima ya Solomoni 9

Sala ya kuomba Hekima 1 “Ee Mungu wa wazee wetu, Bwana mwenye huruma! Kwa neno lako uliumba vitu vyote. 2 Kwa Hekima yako ulimuumba mtu avitawale viumbe ulivyoumba, 3 aumiliki…

Hekima ya Solomoni 10

1 Hekima alimlinda yule aliyeumbwa kwanza, baba wa ulimwengu, aliyeumbwa peke yake kabla ya wengine. Hekima alimwokoa kutoka kosa lake, 2 akampa nguvu ya kutawala vitu vyote. 3 Lakini mtu…