Hekima ya Solomoni 11
1 Hekima aliwafanikisha hao watu wakiongozwa na yule nabii mtakatifu. 2 Walisafiri jangwani pasipokaliwa na watu, wakapiga hema zao mahali ambapo hakuna aliyepitia kabla. 3 Waliwakabili maadui zao na kuwashinda…
1 Hekima aliwafanikisha hao watu wakiongozwa na yule nabii mtakatifu. 2 Walisafiri jangwani pasipokaliwa na watu, wakapiga hema zao mahali ambapo hakuna aliyepitia kabla. 3 Waliwakabili maadui zao na kuwashinda…
1 Roho yako isiyokufa imo katika vitu vyote. 2 Kwa hiyo wawakosoa kwa taratibu wale wanaokukosea; na kuwakumbusha na kuwaonya juu ya yale wanayokukosea nayo, ili waachane na ubaya wao…
Upumbavu wa kuabudu viumbe 1 Watu wote ambao hawajapata kumjua Mungu ni wapumbavu mpaka ndani. Watu hao wameviona vitu vizuri vilivyopo, lakini wameshindwa kumjua Mungu ambaye ndiye hasa, anayeishi. Hutazama…
1 Tena mtu anajiandaa kusafiri kwa jahazi penye mawimbi baharini, naye anakiomba msaada kipande cha mti kibovu kuliko jahazi atakalosafiria! 2 Mtu fulani aliunda jahazi hilo ili kujipatia faida, fundi…
Mungu wa kweli 1 Lakini wewe, Mungu wetu, ni mwenye wema na kweli, wewe ni mvumilivu na watawala vyote kwa huruma. 2 Hata tukitenda dhambi twajua nguvu yako, nasi tu…
Mapigo ya Wamisri 1 Kwa hiyo, watu hao waliadhibiwa kwa viumbe hivyohivyo kama walivyostahili; naam, waliteswa kwa makundi ya viumbe hao. 2 Lakini wewe, ee Bwana, badala ya kuwaadhibu hivyo…
Wamisri wanavamiwa na kitisho usiku 1 Naam, hukumu zako ni kuu mno na ngumu kueleza; ndiyo maana wasiotaka kufunzwa hupotea. 2 Maana watu wakorofi walipodhani wamelitia taifa lako chini ya…
Mwanga wawaangazia watu wa Israeli 1 Lakini, mwanga mkubwa uliwaangazia watu wako watakatifu. Maadui zao walisikia sauti zao lakini hawakuweza kuwaona; waliona watu wako wana bahati kwa vile hawakuteseka. 2…
Wamisri na Waisraeli kwenye Bahari ya Shamu 1 Hasira yako isiyo na upeo iliwajia wale waovu bila huruma. Wewe ulijua kabla mambo yale ambayo walikuwa wanataka kuyafanya. 2 Ulijua kwamba…