Hesabu 1

Hesabu ya kwanza ya Waisraeli 1 Mnamo siku ya kwanza ya mwezi wa pili, mwaka wa pili baada ya wana wa Israeli kutoka Misri, Mwenyezi-Mungu aliongea na Mose ndani ya…

Hesabu 2

Kupangwa kwa makabila 1 Mwenyezi-Mungu aliwapa Mose na Aroni, maagizo yafuatayo: 2 “Waisraeli watapiga kambi zao, kila mmoja akikaa mahali penye bendera yake, penye alama za ukoo wake. Watapiga kambi…

Hesabu 3

Wana wa Aroni 1 Wafuatao ndio wazawa wa Aroni na Mose wakati Mwenyezi-Mungu alipozungumza na Mose mlimani Sinai. 2 Haya ndiyo majina ya wana wa Aroni: Nadabu, mzaliwa wake wa…

Hesabu 4

Wajibu waliopewa Wakohathi 1 Mwenyezi-Mungu akawaambia Mose na Aroni, 2 “Wahesabu watu wa ukoo wa Kohathi, mmoja wa koo za Lawi, kufuatana na jamaa zao na koo zao; 3 utawaorodhesha…

Hesabu 5

Watu najisi 1 Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, 2 “Waamuru Waisraeli wamtoe nje ya kambi kila mtu mwenye ukoma, kila mtu anayetokwa usaha, na kila aliye najisi kwa kugusa maiti. 3 Mtawatoa…

Hesabu 6

Maagizo kuhusu kuweka nadhiri 1 Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, 2 “Wape Waisraeli maagizo yafuatayo: Iwapo mwanamume au mwanamke ataweka nadhiri maalumu, nadhiri ya kujiweka wakfu,akajitenga kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu, 3 basi,…

Hesabu 7

Matoleo ya viongozi 1 Siku Mose alipomaliza kulisimamisha hema takatifu, kulimiminia mafuta na kuliweka wakfu pamoja na vyombo vyake vyote, kuimiminia mafuta na kuiweka wakfu madhabahu na vyombo vyake vyote,…

Hesabu 8

Kuwekwa kwa taa 1 Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, 2 “Mwambie Aroni kwamba wakati atakapoziweka zile taa saba kwenye kinara, azipange ili ziangaze upande wa mbele wa kinara hicho.” 3 Aroni akatii…

Hesabu 9

Pasaka ya pili 1 Kisha mnamo mwezi wa kwanza wa mwaka wa pili baada ya Waisraeli kutoka Misri, Mwenyezi-Mungu aliongea na Mose katika jangwa la Sinai. Alimwambia: 2 “Waisraeli sharti…

Hesabu 10

Tarumbeta za fedha 1 Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, 2 “Tengeneza tarumbeta mbili kwa fedha iliyofuliwa. Utazitumia tarumbeta hizo wakati wa kuwaita watu na wakati wa kuvunja kambi. 3 Tarumbeta zote mbili…