Hesabu 11
1 Watu walianza kumlalamikia Mwenyezi-Mungu juu ya taabu zao. Mwenyezi-Mungu aliposikia, alishikwa na hasira, akawapelekea moto. Moto huo uliwaka kati yao na kuchoma upande mmoja wa kambi. 2 Watu wakamlilia…
1 Watu walianza kumlalamikia Mwenyezi-Mungu juu ya taabu zao. Mwenyezi-Mungu aliposikia, alishikwa na hasira, akawapelekea moto. Moto huo uliwaka kati yao na kuchoma upande mmoja wa kambi. 2 Watu wakamlilia…
Miriamu anaadhibiwa 1 Kisha Miriamu na Aroni walianza kumsema vibaya Mose kwa sababu ya mwanamke Mkushi aliyekuwa amemwoa. 2 Wakasema, “Hivi kwani Mwenyezi-Mungu amezungumza kwa kumwagiza Mose peke yake? Je,…
Wapelelezi 1 Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, 2 “Tuma watu waende wakaipeleleze nchi ya Kanaani ambayo ninawapa wana wa Israeli. Utatuma mtu mmoja kutoka katika kila kabila, na mtu huyo lazima awe…
Watu walalamika 1 Jumuiya yote ya Waisraeli ikaangua kilio kikubwa, watu wakalia usiku ule. 2 Waliwalalamikia Mose na Aroni wakisema, “Afadhali tungefia Misri! Afadhali tungefia papa hapa jangwani! 3 Kwa…
Sheria kuhusu sadaka 1 Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, 2 “Waambie Waisraeli kwamba mtakapofika katika nchi ninayowapeni ambamo mtaishi, 3 mkanitolea mimi Mwenyezi-Mungu sadaka kutoka katika mifugo yenu, sadaka ya kuteketezwa au…
Uasi wa Kora, Dathani na Abiramu 1 Baadaye Kora mwana wa Ishari, mwana wa Kohathi, mwana wa Lawi, akatwaa watu pamoja na watu watatu wa ukoo wa Reubeni: Dathani na…
Fimbo ya Aroni 1 Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, 2 “Waambie Waisraeli wakuletee fimbo kumi na mbili, kila kiongozi wa kabila fimbo moja. Liandike jina la kila mmoja wao kwenye fimbo…
1 Basi, Mwenyezi-Mungu akamwambia Aroni, “Lawama zote kuhusu huduma ya hema takatifu, zitakuwa juu yako, wanao na ukoo wako; kadhalika makosa yanayoambatana na ukuhani wako wewe mwenyewe na wanao mtahusika….
Majivu ya ng’ombe mwekundu 1 Mwenyezi-Mungu aliendelea kuwaambia Mose na Aroni, 2 “Haya ni masharti ya sheria ambayo mimi Mwenyezi-Mungu ninatoa. Waambieni Waisraeli wawaletee ng’ombe jike mwekundu asiye na dosari…
Maji ya Meriba 1 Jumuiya nzima ya Waisraeli ilifika katika jangwa la Sinai mnamo mwezi wa kwanza, wakapiga kambi yao huko Kadeshi. Wakiwa huko, Miriamu alifariki, akazikwa. 2 Mahali hapo…