Hosea 11

Upendo wa Mungu wapita hasira yake 1 “Israeli alipokuwa mtoto, nilimpenda, Kutoka Misri nilimwita mwanangu. 2 Lakini kadiri nilivyozidi kuwaita, ndivyo walivyozidi kwenda mbali nami; waliendelea kuyatambikia Mabaali, na kuvifukizia…

Hosea 12

1 Watu wa Efraimu wananirundikia uongo, na Waisraeli udanganyifu. Watu wa Yuda, wananiasi mimi Mungu Mtakatifu. 2 “Watu wa Efraimu wanachunga upepo kutwa nzima wanafukuza upepo wa mashariki. Wanazidisha uongo…

Hosea 13

1 Waefraimu waliponena, watu walitetemeka; Waefraimu walikuwa na uwezo mkubwa huko Israeli, lakini walianza kumwabudu Baali, wakajiletea kifo. 2 Waefraimu wameendelea kutenda dhambi, wakajitengenezea sanamu za kusubu, sanamu zilizotengenezwa kwa…

Hosea 14

Kumrudia Mungu na hali mpya 1 Enyi Waisraeli, mrudieni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Mmejikwaa kwa sababu ya uovu wenu. 2 Ombeni toba kwake, mrudieni na kumwambia: “Utusamehe uovu wote, upokee zawadi…