Isaya 1

1 Maono aliyoyaona Isaya, mwana wa Amozi, kuhusu Yuda na mji wa Yerusalemu, nyakati za utawala wa Uzia, Yothamu, Ahazi na Hezekia, wafalme wa Yuda. Mungu awakemea watu wake 2…

Isaya 2

Amani ya kudumu 1 Neno alilopewa Isaya, mwana wa Amozi, kuhusu Yuda na Yerusalemu. 2 Siku zijazo mlima wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu utaimarishwa kupita milima yote, utainuliwa juu ya vilima…

Isaya 3

Msukosuko Yerusalemu 1 Sasa, Bwana Mwenyezi-Mungu wa majeshi ataondoa kutoka Yerusalemu na Yuda kila tegemeo: Tegemeo lote la chakula, na tegemeo lote la kinywaji. 2 Ataondoa mashujaa na askari, waamuzi…

Isaya 4

1 Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.” Mji wa Yerusalemu utarekebishwa 2…

Isaya 5

Wimbo wa shamba la mizabibu 1 Nitaimba juu ya rafiki yangu, wimbo wa rafiki yangu na shamba lake la mizabibu: Rafiki yangu alikuwa na shamba la mizabibu juu ya kilima…

Isaya 6

Mungu amwita Isaya kuwa nabii 1 Mnamo mwaka aliofariki mfalme Uzia, nilimwona Bwana ameketi katika kiti cha enzi kilicho juu na cha fahari. Pindo la vazi lake lilienea hekaluni mote,…

Isaya 7

Ujumbe kwa mfalme Ahazi 1 Wakati mfalme Ahazi mwana wa Yothamu na mjukuu wa Uzia, alipokuwa anatawala Yuda, Resini, mfalme wa Aramu, na Peka mwana wa Remalia, mfalme wa Israeli,…

Isaya 8

Teka haraka, pokonya upesi 1 Mwenyezi-Mungu aliniambia hivi: “Chukua ubao mkubwa, uandike juu yake maneno yanayosomeka kwa urahisi: ‘TEKA-HARAKA-POKONYA-UPESI.’” 2 Basi, nikajipatia mashahidi wawili waaminifu ambao wangenishuhudia: Kuhani Uria na…

Isaya 9

Mtoto amezaliwa kwetu 1 Lakini nchi ile iliyokuwa imekumbwa na huzuni haitabaki daima katika giza hilo kuu. Hapo awali Mungu alizifedhehesha nchi za Zebuluni na Naftali, lakini siku za usoni…

Isaya 10

1 Ole wao wanaotunga sheria zisizo za haki, watu wanaopitisha sheria za kukandamiza. 2 Huwanyima maskini haki zao, na kuwaibia maskini wa watu wangu maslahi yao. Wajane wamekuwa nyara kwao;…