Isaya 11

Ufalme wa amani 1 Kutatokea chipukizi katika kisiki cha Yese, tawi litachipua mizizini mwake. 2 Roho ya Mwenyezi-Mungu itakaa kwake, roho ya hekima na maarifa, roho ya shauri jema na…

Isaya 12

Wimbo wa shukrani 1 Siku hiyo mtasema: “Nakushukuru, ee Mwenyezi-Mungu, maana ingawa ulinikasirikia, hasira yako imetulia, nawe umenifariji. 2 Mungu ndiye mwenye kuniokoa, nitamtegemea yeye, wala sitaogopa; Mwenyezi-Mungu hunijalia nguvu;…

Isaya 13

Mungu ataiadhibu Babuloni 1 Kauli ya Mungu dhidi ya Babuloni ambayo Isaya, mwana wa Amozi, alipewa katika maono: 2 Mungu asema: “Twekeni bendera juu ya mlima usio na miti. Wapaazieni…

Isaya 14

Kurudi kutoka uhamishoni 1 Mwenyezi-Mungu atawahurumia tena watu wa Yakobo, atawateua tena Waisraeli. Atawarudisha katika nchi yao wenyewe, na wageni watakuja na kukaa pamoja na watu wa Yakobo. 2 Watu…

Isaya 15

Mungu ataiangamiza Moabu 1 Kauli ya Mungu dhidi ya nchi ya Moabu. Mji wa Ari nchini Moabu umeangamizwa usiku; mji wa Kirinchini Moabu umeteketezwa usiku. 2 Watu wa Diboni wamepanda…

Isaya 16

Moabu inaomba msaada kutoka Yerusalemu 1 Pelekeni wanakondoo kwa mtawala wa nchi, pelekeni kutoka Sela jangwani mpaka mlimani Siyoni. 2 Kama ndege wanavyohangaika na kurukaruka, wakiwa wamefukuzwa kutoka viota vyao,…

Isaya 17

Mungu ataadhibu Ashuru na Israeli 1 Kauli ya Mungu dhidi ya Damasko. “Damasko utakoma kuwa mji; utakuwa rundo la magofu. 2 Mitaa yake imeachwa mahame milele. Itakuwa makao ya makundi…

Isaya 18

Mungu ataiadhibu Kushi 1 Ole, wake nchi iliyojaa mvumo wa mabawa, nchi iliyoko ngambo ya mito ya Kushi! 2 Inatuma wajumbe ambao wanasafiri mtoni Nili, wamepanda mashua za mafunjo. Nendeni,…

Isaya 19

Mungu ataiadhibu nchi ya Misri 1 Kauli ya Mungu dhidi ya nchi ya Misri. “Mwenyezi-Mungu amepanda juu ya wingu liendalo kasi na kuja mpaka nchi ya Misri. Sanamu za miungu…

Isaya 20

Isaya anatembea bila nguo na viatu 1 Sargoni mfalme wa Ashuru, alimtuma jemadari wake mkuu kuuvamia mji wa Ashdodi. Naye akaushambulia na kuuteka. 2 Miaka mitatu kabla ya hapo, Mwenyezi-Mungu…