Isaya 21

Maono juu ya kuangamizwa kwa Babuloni 1 Kauli ya Mungu dhidi ya jangwa kando ya bahari. Kama vimbunga vinavyovuma kutoka kusini, wavamizi wanakuja kutoka jangwani, kutoka katika nchi ya kutisha….

Isaya 22

Kauli ya Mungu dhidi ya Yerusalemu 1 Kauli ya Mungu dhidi ya Bonde la Maono. Kuna nini ee Yerusalemu? Mbona watu wote mmepanda juu ya nyumba? 2 Kwa nini mnapiga…

Isaya 23

Angamizo la Tiro na Sidoni 1 Kauli ya Mungu dhidi ya Tiro. Ombolezeni, enyi mabaharia wa mbali baharini, maana Tiro mji wenu umeharibiwa, humo hamna tena makao wala bandari. Mtazipokea…

Isaya 24

Mwenyezi-Mungu ataiadhibu dunia 1 Sasa Mwenyezi-Mungu anaiharibu dunia na kuifanya tupu. Atausokota uso wa dunia na kuwatawanya wakazi wake. 2 Kila mtu atapatwa na mambo yaleyale: Mtu wa kawaida na…

Isaya 25

Wimbo wa sifa kwa Mungu 1 Wewe, ee Mwenyezi-Mungu, ndiwe Mungu wangu; nitakutukuza na kulisifu jina lako, kwa maana umetenda mambo ya ajabu; waitekeleza kwa uaminifu na kweli mipango uliyoipanga…

Isaya 26

Wimbo wa ushindi 1 Siku ile watu wataimba wimbo huu katika nchi ya Yuda: Sisi tuna mji imara: Mungu anatulinda kwa kuta na ngome. 2 Fungueni malango ya mji, taifa…

Isaya 27

1 Siku hiyo, Mwenyezi-Mungu atautwaa upanga wake mkubwa, mkali na imara, na kuliadhibu dude Lewiyathanijoka lirukalo na danganyifu; Mwenyezi-Mungu ataliua joka liishilo baharini. 2 Siku hiyo, Mwenyezi-Mungu atasema hivi: “Imbeni…

Isaya 28

Onyo kwa ufalme wa kaskazini 1 Ole wenye majivuno na walevi wa Efraimu, fahari yake inatoweka kama ua linalonyauka! Naam, fahari iliyotawala bondeni kwenye rutubarutuba; na vichwani kwao walio watu…

Isaya 29

Ujumbe dhidi ya Yerusalemu 1 Ole wako Yerusalemu, madhabahu ya Mungu; mji ambamo Daudi alipiga kambi yake! Miaka yaja na kupita, na sikukuu zako zaendelea kufanyika; 2 lakini mimi Mungu…

Isaya 30

1 Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Ole wao watoto wanaoniasi, wanaotekeleza mipango yao na si mipango yangu, wanaofanya mikataba kinyume cha matakwa yangu! Naam, wanarundika dhambi juu ya dhambi. 2 Bila kunitaka…