Isaya 31

Misri haitaweza kusaidia 1 Ole wao wale waendao Misri kuomba msaada, ole wao wanaotegemea farasi, wanaotegemea wingi wa magari yao ya vita, na nguvu za askari wao wapandafarasi, nao hawamtegemei…

Isaya 32

Mfalme mwadilifu 1 Kutatokea mfalme atakayetawala kwa uadilifu, nao viongozi wataongoza kwa kufuata haki. 2 Kila mmoja atakuwa kama mahali pa kujikinga na upepo, kama mahali pa kujificha wakati wa…

Isaya 33

Maafa kwa mwangamizi 1 Ole wako ewe mwangamizi, unayeangamiza bila wewe kuangamizwa! Ole wako wewe mtenda hila, ambaye hakuna aliyekutendea hila! Utakapokwisha kuangamiza wewe utaangamizwa! Utakapomaliza kuwatendea watu hila wewe…

Isaya 34

Mungu atawaadhibu maadui zake 1 Karibieni mkasikilize enyi mataifa, tegeni sikio enyi watu. Sikiliza ee dunia na vyote vilivyomo, ulimwengu na vyote vitokavyo humo! 2 Mwenyezi-Mungu ameyakasirikia mataifa yote, ameghadhabika…

Isaya 35

Furaha ijayo ya Yerusalemu 1 Nyika na nchi kavu vitachangamka, jangwa litafurahi na kuchanua maua. 2 Litachanua maua kwa wingi kama waridi, litashangilia na kuimba kwa furaha. Mungu atalijalia fahari…

Isaya 36

Waashuru wanatishia Yerusalemu 1 Mnamo mwaka wa kumi na nne wa utawala wa mfalme Hezekia,mfalme Senakeribu wa Ashuru aliishambulia miji yote yenye ngome ya Yuda na kuiteka. 2 Kisha mfalme…

Isaya 37

Mfalme anaomba shauri kwa nabii Isaya 1 Basi, mfalme Hezekia aliposikia habari hiyo alirarua mavazi yake, akavaa vazi la gunia, akaingia katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu. 2 Aliwaamuru Eliakimu, mkuu wa…

Isaya 38

Mfalme Hezekia anaugua 1 Wakati huo, mfalme Hezekia aliugua sana karibu kufa. Ndipo nabii Isaya mwana wa Amozi, akamwendea, akamwambia, “Hivi ndivyo anavyosema Mwenyezi-Mungu: Panga mambo yako sawasawa katika nyumba…

Isaya 39

Wajumbe kutoka Babuloni 1 Wakati huo, mfalme Merodak-baladani mwana wa Baladani, mfalme wa Babuloni, aliposikia kwamba Hezekia alikuwa ameugua na sasa amepona, alimtumia ujumbe pamoja na zawadi. 2 Basi, Hezekia…

Isaya 40

Tumaini la kuponywa katika Yerusalemu 1 Mungu wenu asema: “Wafarijini watu wangu, nendeni mkawafariji. 2 Semeni na wenyeji wa Yerusalemu kwa upole, waambieni kwamba utumwa wao umekwisha, wamesamehewa uovu wao….