Kumbukumbu la Sheria 11
Ukuu wa Mwenyezi-Mungu 1 “Kwa ajili hiyo, mpendeni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kushika siku zote kanuni zake, masharti yake, maagizo yake na amri zake. 2 Fikirini kwa makini, kwa sababu…
Ukuu wa Mwenyezi-Mungu 1 “Kwa ajili hiyo, mpendeni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kushika siku zote kanuni zake, masharti yake, maagizo yake na amri zake. 2 Fikirini kwa makini, kwa sababu…
Mahali pekee pa ibada 1 “Yafuatayo ni masharti na maagizo ambayo mtayatimiza katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zenu, amewapa muimiliki, siku zote za maisha yenu nchini. 2 Haribuni…
1 “Akitokea nabii au mtabiri wa ndoto miongoni mwenu, akawaahidi na kuwapa ishara au maajabu fulani, 2 halafu ishara au maajabu hayo yatokee, kisha aseme: ‘Tufuate miungu mingine na kuitumikia,…
Desturi za maombolezo zilizokatazwa 1 “Nyinyi ni watoto wa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu; msijichanje wala kunyoa upara kwa ajili ya mtu aliyefariki. 2 Nyinyi ni watu watakatifu kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu;…
Mwaka wa Sabato 1 “Kila mwisho wa mwaka wa saba mtawasamehe wadeni wenu wote. 2 Hivi ndivyo mtakavyofanya: Kila mmoja aliyemkopesha jirani yake, alifute hilo deni, wala asijaribu kumdai kwa…
Pasaka 1 “Adhimisheni mwezi wa Abibu na kufanya Pasaka kwa heshima ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Maana katika mwezi huo wa Abibu, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu aliwatoa Misri wakati wa usiku. 2…
1 “Msimtolee Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, sadaka ya ng’ombe au kondoo mwenye dosari, wala ubaya wowote, maana hilo ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. 2 “Kama mkisikia kwamba katika mmoja wa…
Fungu la makuhani 1 “Makuhani Walawi, yaani kabila lote la Lawi wasiwe na sehemu wala urithi katika Israeli. Wao watakula sehemu ya sadaka za Mwenyezi-Mungu. 2 Wala wasiwe na urithi…
Miji ya kukimbilia usalama 1 “Baada ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kuwaangamiza watu wale ambao nchi yao anawapeni, na baada ya kuimiliki na kuishi katika nyumba zao, 2 mtatenga miji mitatu…
Kuhusu vita 1 “Mkienda vitani kupigana na adui zenu, mkaona farasi, magari na jeshi kubwa zaidi kuliko lenu msiwaogope. Maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu aliyewatoa Misri, atakuwa nanyi. 2 Kabla ya…