Kumbukumbu la Sheria 31

Yoshua anachukua mahali pa Mose 1 Mose aliendelea kuongea na Waisraeli wote, 2 akawaambia, “Mimi sasa nina umri wa miaka 120, na sina nguvu ya kufanya kazi zaidi. Tena Mwenyezi-Mungu,…

Kumbukumbu la Sheria 32

1 “Tegeni masikio enyi mbingu: Sikiliza, ee dunia, maneno ninayosema. 2 Mafundisho yangu na yatone kama mvua, maneno yangu yadondoke kama umande, kama manyunyu kwenye mimea michanga, kama mvua nyepesi…

Kumbukumbu la Sheria 33

Mose anayabariki makabila ya Israeli 1 Hii ndiyo baraka ambayo Mose, mtu wa Mungu aliwatakia Waisraeli kabla ya kufariki kwake. Alisema: 2 Mwenyezi-Mungu alikuja kutoka mlima Sinai, alitutokea kutoka mlima…

Kumbukumbu la Sheria 34

Kifo cha Mose 1 Basi, Mose akaondoka kwenye tambarare ya Moabu, akaenda mlimani Nebo, akapanda kilele cha Pisga kilicho mkabala wa Yeriko. Hapo Mwenyezi-Mungu akamwonesha nchi yote: Toka Gileadi mpaka…