Kutoka 21
Maagizo kuhusu watumwa 1 “Haya ndiyo maagizo utakayowapa Waisraeli: 2 Ukimnunua mtumwa Mwebrania, atakutumikia kwa miaka sita, lakini mwaka wa saba atakuwa huru na kuondoka, bila malipo. 3 Kama alinunuliwa…
Maagizo kuhusu watumwa 1 “Haya ndiyo maagizo utakayowapa Waisraeli: 2 Ukimnunua mtumwa Mwebrania, atakutumikia kwa miaka sita, lakini mwaka wa saba atakuwa huru na kuondoka, bila malipo. 3 Kama alinunuliwa…
Maagizo juu ya malipo 1 “Mtu akiiba ng’ombe au kondoo na kumchinja au kumwuza, atatozwa ng’ombe watano kwa kila ng’ombe, na kondoo wanne kwa kila kondoo. 2 Mwizi akipatikana anavunja…
Haki na usawa 1 “Usitoe habari za uongo. Usishirikiane na mtu mwovu ili kuwa shahidi mbaya. 2 Usifuate genge la watu kutenda uovu, wala usijumuike na genge la watu kutoa…
Agano linathibitishwa 1 Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Njoni kwangu, wewe Aroni, Nadabu na Abihu, pamoja na wazee sabini wa Israeli, mniabudu kwa mbali. 2 Wewe Mose peke yako ndiwe utakayenikaribia, lakini…
Matoleo kwa ajili ya hema takatifu 1 Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, 2 “Waambie Waisraeli wanipe michango ya matoleo, nawe upokee kwa niaba yangu. Utapokea kutoka kwa mtu yeyote atakayetoa kwa moyo…
Hema la mkutano 1 “Zaidi ya hayo yote, utatengeneza hema takatifu kwa mapazia kumi ya kitani safi iliyosokotwa, na kwa sufu ya rangi ya buluu, zambarau na nyekundu. Mapazia hayo…
Madhabahu 1 “Utatengeneza madhabahu kwa mbao za mjohoro. Madhabahu hiyo itakuwa ya mraba, urefu wake mitambili na robo, na upana wake mita mbili na robo; kimo chake kitakuwa mita moja…
Mavazi ya makuhani 1 “Nawe Mose umlete kwangu Aroni ndugu yako, pamoja na wanawe: Nadabu, Abihu, Eleazari na Ithamari utawateua miongoni mwa Waisraeli, ili wanitumikie kama makuhani. 2 Utamshonea ndugu…
Maagizo ya kuwaweka wakfu Aroni na wanawe 1 “Haya ndiyo mambo utakayowafanyia Aroni na wanawe ili kuwaweka wakfu wanitumikie kama makuhani. Utachukua ndama dume na kondoo madume wawili wasio na…
Madhabahu ya kufukizia ubani 1 “Utatengeneza madhabahu kwa mbao za mjohoro ili pawe mahali pa kufukizia ubani. 2 Madhabahu hiyo iwe ya mraba, urefu na upana wake sentimita 45, na…