Kutoka 31

Mafundi wa kutayarisha hema la mkutano 1 Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, 2 “Mimi nimemteua Bezaleli, mwana wa Uri, mjukuu wa Huri, wa kabila la Yuda 3 na kumjaza roho wangu. Nimempatia…

Kutoka 32

Sanamu ya ndama wa dhahabu 1 Watu walipoona kuwa Mose amechelewa kurudi kutoka mlimani, walikusanyika mbele ya Aroni na kumwambia, “Haya! Tutengenezee miungu itakayotuongoza maana hatujui lililompata huyo Mose aliyetutoa…

Kutoka 33

Mungu amwamuru Mose waanze safari 1 Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Anza safari uondoke hapa, wewe na watu hao uliowatoa nchini Misri, mwende katika nchi niliyomwapia Abrahamu, Isaka na Yakobo, nikisema, ‘Nitawapa…

Kutoka 34

Vibao vipya vya agano 1 Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, “Chonga vibao viwili vya mawe kama vile vya kwanza, nami nitayaandika maneno yale yaliyokuwa katika vile vibao vya kwanza ulivyovivunja. 2 Uwe…

Kutoka 35

Kanuni za Sabato 1 Mose alikusanya jumuiya yote ya Waisraeli, akawaambia, “Haya ndiyo mambo ambayo Mwenyezi-Mungu amewaamuru muyafanye: 2 Kwa siku sita mtafanya kazi zenu; lakini siku ya saba ni…

Kutoka 36

1 “Bezaleli na Oholiabu, pamoja na kila mwanamume ambaye Mwenyezi-Mungu amemjalia uwezo na akili ya kujua namna ya kufanya kazi zote katika ujenzi wa hema takatifu, atafanya kazi kulingana na…

Kutoka 37

Kutengeneza sanduku la agano 1 Bezaleli alitengeneza sanduku kwa mbao za mjohoro; urefu wake ulikuwa sentimita 110, upana sentimita 66, na kimo chake sentimita 66. 2 Alilipaka dhahabu safi ndani…

Kutoka 38

Madhabahu ya kuteketezea tambiko na birika la shaba 1 Alitengeneza madhabahu kwa ajili ya sadaka za kuteketezwa. Madhabahu hiyo ilikuwa ya mraba, mita mbili na robo kwa mita 2.25, na…

Kutoka 39

Mavazi ya makuhani: Kizibao 1 Kwa kutumia sufu ya rangi ya buluu, ya zambarau na nyekundu walifuma sare za kuvaa wakati wa kuhudumu mahali patakatifu. Walimshonea Aroni mavazi matakatifu kama…

Kutoka 40

Hema lasimikwa na kuwekwa wakfu 1 Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, 2 “Mnamo siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza, utalisimika hema takatifu la mkutano. 3 Ndani ya hema hilo utaweka lile…