Luka 1

1 Mheshimiwa Theofilo: Watu wengi wamejitahidi kuandika juu ya mambo yale yaliyotendeka kati yetu. 2 Waliyaandika kama tulivyoelezwa na wale walioyaona mambo hayo kwa macho yao tangu mwanzo, na waliotangaza…

Luka 2

Kuzaliwa kwa Yesu 1 Siku zile, tangazo rasmi lilitolewa na Kaisari Augusto kuwataka watu wote nchini kote wahesabiwe. 2 Sensa hiyo ilikuwa mara ya kwanza, wakati Kurenio alipokuwa mkuu wa…

Luka 3

Mahubiri ya Yohane Mbatizaji 1 Mwaka wa kumi na tano wa utawala wa Kaisari Tiberio, Pontio Pilato alikuwa anatawala mkoa wa Yudea. Herode alikuwa mtawala wa Galilaya, na ndugu yake…

Luka 4

Kujaribiwa kwa Yesu 1 Yesu alitoka mtoni Yordani akiwa amejaa Roho Mtakatifu, akaongozwa na Roho mpaka jangwani. 2 Huko alijaribiwa na Ibilisi kwa muda wa siku arubaini. Wakati huo wote…

Luka 5

Yesu anawaita wanafunzi wa kwanza 1 Siku moja, Yesu alikuwa amesimama kando ya ziwa Genesareti, na watu wengi walikuwa wamemzunguka wakisongamana, wanasikiliza neno la Mungu. 2 Akaona mashua mbili ukingoni…

Luka 6

Suala juu ya siku ya Sabato 1 Siku moja ya Sabato, Yesu alikuwa anapita katika mashamba ya ngano, na wanafunzi wake wakaanza kuvunja masuke ya ngano, wakaondoa punje zake kwa…

Luka 7

Yesu anamponya mtumishi wa jemadari Mroma 1 Baada ya kusema yale aliyotaka watu wasikie, Yesu alikwenda Kafarnaumu. 2 Huko kulikuwa na jemadari mmoja ambaye alikuwa na mtumishi wake aliyempenda sana….

Luka 8

Wanawake walioandamana na Yesu 1 Baada ya hayo, Yesu alipitia mijini na vijijini akitangaza Habari Njema za ufalme wa Mungu. Wale kumi na wawili waliandamana naye. 2 Pia wanawake kadhaa…

Luka 9

Yesu anawatuma wale kumi na wawili 1 Yesu aliwaita wale kumi na wawili, akawapa uwezo wa kuponya pepo wote, na uwezo wa kuponya wagonjwa. 2 Halafu akawatuma waende kuhubiri ufalme…

Luka 10

Yesu anawatuma wafuasi sabini na wawili 1 Baada ya hayo, Bwana aliwachagua wengine sabini na wawili, akawatuma wawiliwawili, wamtangulie katika kila kijiji na mahali ambapo yeye mwenyewe alitaka kwenda. 2…