Luka 11

Yesu anafundisha juu ya kusali 1 Siku moja, Yesu alikuwa mahali fulani akisali. Alipomaliza kusali, mmoja wa wanafunzi wake akamwambia, “Bwana, tunakuomba utufundishe kusali kama Yohane Mbatizaji alivyowafundisha wanafunzi wake.”…

Luka 12

Onyo kuhusu unafiki 1 Wakati watu kwa maelfu walipokuwa wamekusanyika hata wakawa wanakanyagana, Yesu aliwaambia kwanza wanafunzi wake, “Jihadharini na chachu ya Mafarisayo, yaani unafiki. 2 Kila kilichofunikwa kitafunuliwa, kila…

Luka 13

Acheni dhambi zenu au mtakufa 1 Wakati huo watu fulani walikuja, wakamweleza Yesu juu ya watu wa Galilaya ambao Pilato alikuwa amewaua wakati walipokuwa wanachinja wanyama wao wa tambiko. 2…

Luka 14

Yesu anamponya mtu mmoja 1 Siku moja ya Sabato, Yesu alikwenda kula chakula nyumbani kwa mmoja wa viongozi wa Mafarisayo, na watu waliokuwapo hapo wakawa wanamchunguza. 2 Mbele yake Yesu…

Luka 15

Mfano wa kondoo aliyepotea 1 Siku moja, watozaushuru na wenye dhambi wengi walikwenda kumsikiliza Yesu. 2 Mafarisayo na waalimu wa sheria wakaanza kunungunika: “Mtazameni mtu huyu! Anawakaribisha wenye dhambi, na…

Luka 16

Karani mjanja 1 Yesu aliwaambia wanafunzi wake: “Tajiri mmoja alikuwa na karani wake. Huyu karani alichongewa kwamba alitumia ovyo mali ya tajiri wake. 2 Yule tajiri akamwita, akamwambia: ‘Ni mambo…

Luka 17

Vikwazo 1 Kisha, Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Haiwezekani kabisa kusitokee vikwazo vinavyosababisha dhambi; lakini ole wake mtu yule atakayevisababisha. 2 Ingekuwa afadhali kwake kufungiwa shingoni jiwe kubwa la kusagia na…

Luka 18

Mfano wa mjane na hakimu 1 Basi, Yesu aliwasimulia mfano kuonesha kwamba ni lazima kusali daima bila kukata tamaa. 2 Alisema: “Katika mji mmoja kulikuwa na hakimu ambaye hakuwa anamcha…

Luka 19

Yesu na Zakayo 1 Yesu aliingia mjini Yeriko, akawa akipita katika njia za mji huo. 2 Palikuwa na mtu mmoja huko mjini aitwaye Zakayo ambaye alikuwa mkuu wa watozaushuru, na…

Luka 20

Suala juu ya mamlaka ya Yesu 1 Siku moja, Yesu alipokuwa akiwafundisha watu hekaluni na kuwahubiria juu ya Habari Njema, makuhani wakuu na waalimu wa sheria pamoja na wazee walifika,…