Luka 21

Sadaka ya mama mjane 1 Yesu alitazama kwa makini, akawaona matajiri walivyokuwa wanatia sadaka zao katika hazina ya hekalu, 2 akamwona pia mama mmoja mjane akitumbukiza humo sarafu mbili ndogo….

Luka 22

Mpango wa kumwua Yesu 1 Sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, iitwayo Pasaka, ilikuwa inakaribia. 2 Makuhani wakuu na waalimu wa sheria wakawa wanatafuta njia ya kumwua Yesu, lakini waliwaogopa watu….

Luka 23

Yesu anapelekwa kwa Pilato 1 Kisha, wote kwa jumla, wakasimama, wakampeleka Yesu mbele ya Pilato. 2 Wakaanza kumshtaki wakisema: “Tulimkuta mtu huyu akiwapotosha watu wetu, akipinga kulipa kodi kwa Kaisari…

Luka 24

Kufufuka kwa Yesu 1 Jumapili, alfajiri na mapema, wale wanawake walikwenda kaburini wakichukua yale manukato waliyotayarisha. 2 Walikuta lile jiwe limevingirishwa mbali na kaburi. 3 Walipoingia ndani, hawakuuona mwili wa…