Maombolezo 1

1 Ajabu mji uliokuwa umejaa watu, sasa wenyewe umebaki tupu! Ulikuwa maarufu kati ya mataifa; sasa umekuwa kama mama mjane. Miongoni mwa miji ulikuwa kama binti mfalme; sasa umekuwa mtumwa…

Maombolezo 2

Adhabu ya Yerusalemu 1 Mwenyezi-Mungu, kwa hasira yake, amewaweka watu wa Siyoni gizani. Fahari ya Israeli ameibwaga chini. Siku ya hasira yake alilitupilia mbali hata hekalu lake. 2 Mwenyezi-Mungu ameharibu…

Maombolezo 3

Adhabu, toba na tumaini 1 Mimi ni mtu niliyepata mateso kwa fimbo ya ghadhabu yake Mungu. 2 Amenichukua akanipeleka mpaka gizani kusiko na mwanga. 3 Amenyosha mkono wake dhidi yangu…

Maombolezo 4

Yerusalemu baada ya kuangamia 1 Jinsi gani dhahabu yetu ilivyochujuka, dhahabu safi kabisa ilivyobadilika! Mawe ya thamani yametawanywa yamesambaa barabarani kote. 2 Watoto wa Siyoni waliosifika sana, waliothaminiwa kama dhahabu…

Maombolezo 5

Kuomba huruma 1 Ukumbuke ee Mwenyezi-Mungu, mambo yaliyotupata! Utuangalie, uone jinsi tulivyoaibishwa! 2 Nchi yetu imekabidhiwa wageni, nyumba zetu watu wengine. 3 Tumekuwa yatima, bila baba, mama zetu wameachwa kama…