Marko 1

Mahubiri ya Yohane Mbatizaji 1 Habari Njema ya Yesu Kristo, Mwana wa Mungu. 2 Ilianza kama ilivyoandikwa katika kitabu cha nabii Isaya: “Mungu alisema, ‘Namtuma mjumbe wangu akutangulie, ambaye atakutayarishia…

Marko 2

Yesu anamponya mtu aliyepooza 1 Baada ya siku kadhaa, Yesu alirudi Kafarnaumu, watu wakapata habari kwamba alikuwa nyumbani. 2 Basi, wakaja watu wengi sana hata nafasi yoyote ikakosekana mlangoni. Yesu…

Marko 3

Yesu anamponya mwenye mkono uliopooza 1 Yesu aliingia tena katika sunagogi na mle ndani mlikuwa na mtu aliyekuwa na mkono uliopooza. 2 Humo, baadhi ya watu walimngojea amponye mtu huyo…

Marko 4

Mfano wa mpanzi 1 Yesu alianza kufundisha tena akiwa kando ya ziwa. Umati mkubwa wa watu ulimzunguka hata ikambidi aingie katika mashua na kuketi. Watu wote wakawa wamekaa katika nchi…

Marko 5

Yesu anamponya mtu mwenye pepo wachafu 1 Basi, wakafika katika nchi ya Wagerase, ngambo ya ziwa. 2 Mara tu Yesu aliposhuka mashuani, mtu mmoja aliyepagawa na pepo mchafu alitoka makaburini,…

Marko 6

Yesu anakataliwa huko Nazareti 1 Yesu aliondoka hapo akaenda katika kijiji chake, akifuatwa na wanafunzi wake. 2 Siku ya Sabato ilipofika, alianza kufundisha katika sunagogi. Wengi waliomsikia walishangaa, wakasema, “Je,…

Marko 7

Mapokeo ya mababu 1 Baadhi ya Mafarisayo na waalimu wa sheria waliokuwa wametoka Yerusalemu walikusanyika mbele ya Yesu. 2 Waliona kwamba baadhi ya wanafunzi wake walikula mikate kwa mikono najisi,…

Marko 8

Yesu anawapa chakula watu elfu nne 1 Wakati huo, umati mkubwa wa watu ulikusanyika tena, na hawakuwa na chakula. Basi, Yesu akawaita wanafunzi wake, akawaambia, 2 “Nawaonea huruma watu hawa…

Marko 9

1 Yesu akaendelea kuwaambia, “Kweli nawaambieni, wako wengine papa hapa ambao hawatakufa kabla ya kuuona ufalme wa Mungu ukija kwa enzi.” Yesu anageuka sura 2 Baada ya siku sita, Yesu…

Marko 10

Kuhusu talaka 1 Yesu alitoka hapo akaenda mkoani Yudea, hata ngambo ya mto Yordani. Umati wa watu ukamwendea tena, naye akawafundisha tena kama ilivyokuwa desturi yake. 2 Basi, Mafarisayo wakamwendea,…