Marko 11

Yesu anaingia Yerusalemu kwa shangwe 1 Walipokuwa wanakaribia Yerusalemu walifika Bethfage na Bethania, karibu na mlima wa Mizeituni. Hapo aliwatuma wawili wa wanafunzi wake, 2 akawaambia, “Nendeni katika kijiji kilicho…

Marko 12

Mfano wa shamba la mizabibu na wakulima 1 Yesu alianza kusema nao kwa mifano: “Mtu mmoja alilima shamba la mizabibu. Akalizungushia ukuta, na katikati yake akachimba kisima cha kusindikia divai,…

Marko 13

Yesu anasema juu ya kuharibiwa kwa hekalu. 1 Yesu alipokuwa anatoka hekaluni mmoja wa wanafunzi wake alimwambia, “Mwalimu, tazama jinsi mawe haya na majengo haya yalivyo ya ajabu!” 2 Yesu…

Marko 14

Mpango wa kumwua Yesu 1 Ilikuwa siku mbili tu kabla ya sikukuu ya Pasaka na ya mikate isiyotiwa chachu. Makuhani wakuu na waalimu wa sheria walikuwa wakitafuta njia ya kumtia…

Marko 15

Yesu anapelekwa kwa Pilato 1 Kulipopambazuka, makuhani wakuu walifanya shauri pamoja na wazee, waalimu wa sheria na Baraza lote, wakamfunga Yesu pingu, wakampeleka na kumkabidhi kwa Pilato. 2 Pilato akamwuliza…

Marko 16

Kufufuka kwa Yesu 1 Baada ya siku ya Sabato, Maria Magdalene, Salome na Maria mama yake Yakobo walinunua manukato ili wakaupake mwili wa Yesu. 2 Basi, alfajiri na mapema siku…