Matendo 1

1 Ndugu Theofilo, Katika kitabu cha kwanza niliandika juu ya mambo yote Yesu aliyotenda na kufundisha tangu mwanzo wa kazi yake 2 mpaka siku ile alipochukuliwa mbinguni. Kabla ya kuchukuliwa…

Matendo 2

Roho Mtakatifu anawashukia waumini 1 Siku ya Pentekoste ilipofika, waumini wote walikuwa wamekusanyika mahali pamoja. 2 Ghafla, sauti ikasikika kutoka angani; sauti iliyokuwa kama ya upepo mkali, ikaijaza ile nyumba…

Matendo 3

Petro na Yohane wanamponya kiwete 1 Siku moja, saa tisa alasiri, Petro na Yohane walikuwa wakienda hekaluni, wakati wa sala. 2 Wakati huo watu walikuwa wanambeba mtu mmoja kiwete tangu…

Matendo 4

Petro na Yohane wanapelekwa mahakamani 1 Petro na Yohane walipokuwa bado wanawahutubia watu, makuhani na mkuu wa walinzi wa hekalu pamoja na Masadukayo walifika. 2 Walikasirika sana, maana hao mitume…

Matendo 5

Udanganyifu wa Anania na Safira 1 Mtu mmoja aitwaye Anania na mkewe Safira waliuza shamba lao vilevile. 2 Lakini, mkewe akiwa anajua, Anania akajiwekea sehemu ya fedha alizopata na ile…

Matendo 6

Wasaidizi saba wa mitume 1 Baadaye, idadi ya wanafunzi ilipokuwa inazidi kuongezeka, kulitokea manunguniko kati ya waumini walioongea Kigiriki na wale walioongea Kiebrania. Wale walioongea Kigiriki walinungunika kwamba wajane wao…

Matendo 7

Hotuba ya Stefano 1 Basi, kuhani mkuu akamwuliza, “Je, mambo haya ni kweli?” 2 Naye Stefano akasema, “Ndugu zangu na akina baba, nisikilizeni! Mungu alimtokea babu yetu Abrahamu alipokuwa kule…

Matendo 8

1 Saulo naye alikiona kitendo hicho cha kumwua kuwa sawa. Kanisa linaanza kuteswa Siku hiyo kanisa la Yerusalemu lilianza kuteswa vibaya. Waumini wote, isipokuwa tu wale mitume, walilazimika kutawanyika katika…

Matendo 9

Kuongoka kwa Saulo 1 Wakati huo Saulo alikuwa akizidisha vitisho vikali vya kuwaua wafuasi wa Bwana. Alikwenda kwa kuhani mkuu, 2 akaomba apatiwe barua za utambulisho kwa masunagogi ya Kiyahudi…

Matendo 10

Petro na Kornelio 1 Kulikuwa na mtu mmoja huko Kaisarea aitwaye Kornelio, jemadari wa kikosi kimoja kiitwacho “Kikosi cha Italia.” 2 Alikuwa mtu mwema; naye pamoja na jamaa yake yote…