Mathayo 1

Ukoo wa Yesu Kristo 1 Yesu Kristo alikuwa wa ukoo wa Daudi, wa ukoo wa Abrahamu. Hii ndiyo orodha ya ukoo wake: 2 Abrahamu alimzaa Isaka, Isaka alimzaa Yakobo, Yakobo…

Mathayo 2

Wageni kutoka mashariki 1 Yesu alizaliwa mjini Bethlehemu, mkoani Yudea, wakati Herode alipokuwa mfalme. Punde tu baada ya kuzaliwa kwake, wataalamu wa nyota kutoka mashariki walifika Yerusalemu, 2 wakauliza, “Yuko…

Mathayo 3

Mahubiri ya Yohane Mbatizaji 1 Siku zile Yohane Mbatizaji alitokea, akaanza kuhubiri katika jangwa la Yudea: 2 “Tubuni, maana ufalme wa mbinguni umekaribia.” 3 Huyu Yohane ndiye yule ambaye nabii…

Mathayo 4

Kujaribiwa kwa Yesu 1 Kisha Roho alimwongoza Yesu mpaka jangwani ili ajaribiwe na Ibilisi. 2 Akafunga siku arubaini mchana na usiku, na mwishowe akaona njaa. 3 Basi, mshawishi akamjia, akamwambia,…

Mathayo 5

Hotuba mlimani 1 Yesu alipoyaona makundi ya watu, alipanda mlimani, akaketi. Wanafunzi wake wakamwendea, 2 naye akaanza kuwafundisha: Furaha ya kweli 3 “Heri walio maskini rohoni, maana ufalme wa mbinguni…

Mathayo 6

Kuhusu kuwasaidia maskini 1 “Jihadharini msije mkafanya matendo yenu mema mbele ya watu kusudi mwonekane nao. La sivyo, Baba yenu aliye mbinguni hatawapeni tuzo. 2 “Basi, unapomsaidia maskini, usijitangaze. Usifanye…

Mathayo 7

Kuhusu kuwahukumu wengine 1 “Msiwahukumu wengine, msije nanyi mkahukumiwa na Mungu; 2 kwa maana jinsi mnavyowahukumu wengine, ndivyo nanyi mtakavyohukumiwa; na kipimo kilekile mnachotumia kwa wengine ndicho Mungu atakachotumia kwenu….

Mathayo 8

Yesu anamponya mtu mwenye ukoma 1 Yesu aliposhuka mlimani, makundi mengi ya watu yalimfuata. 2 Basi, akaja mtu mmoja mwenye ukoma, akamsujudia na kusema, “Bwana, ukitaka, waweza kunitakasa!” 3 Yesu…

Mathayo 9

Yesu anamponya mtu aliyepooza 1 Yesu alipanda mashua, akavuka ziwa na kufika katika mji wake. 2 Hapo watu walimletea mtu mmoja aliyepooza mwili, amelazwa juu ya kitanda. Yesu alipoona imani…

Mathayo 10

Mitume kumi na wawili 1 Yesu aliwaita wanafunzi wake kumi na wawili, akawapa uwezo wa kuwafukuza pepo wachafu na kuponya magonjwa na maradhi yote. 2 Majina ya hao mitume kumi…