Mathayo 21

Yesu anaingia Yerusalemu kwa shangwe 1 Yesu na wanafunzi wake walipokaribia Yerusalemu na kufika Bethfage katika mlima wa Mizeituni, aliwatuma wanafunzi wake wawili, 2 akawaambia, “Nendeni hadi kijiji kilicho mbele…

Mathayo 22

Mfano wa karamu ya harusi 1 Yesu alisema nao tena kwa kutumia mifano: 2 “Ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme aliyemwandalia mwanawe karamu ya harusi. 3 Basi, akawatuma watumishi kuwaita…

Mathayo 23

Yesu anawalaumu waalimu wa sheria na Mafarisayo 1 Kisha Yesu akauambia umati wa watu pamoja na wanafunzi wake, 2 “Waalimu wa sheria na Mafarisayo wana mamlaka ya kufafanua sheria ya…

Mathayo 24

Yesu anazungumza juu ya kuharibiwa kwa hekalu 1 Yesu alitoka hekaluni, na alipokuwa akienda zake, wanafunzi wake walimwendea, wakamwonesha majengo ya hekalu. 2 Yesu akawaambia, “Sawa, mnaweza kuyatazama haya yote!…

Mathayo 25

Mfano wa wasichana kumi 1 “Wakati huo, ufalme wa mbinguni utafanana na wasichana kumi waliochukua taa zao, wakaenda kumlaki bwana arusi. 2 Watano miongoni mwao walikuwa wapumbavu na watano walikuwa…

Mathayo 26

Mpango wa kumuua Yesu 1 Yesu alipomaliza kusema hayo yote, aliwaambia wanafunzi wake, 2 “Mnajua kwamba baada ya siku mbili tutakuwa na sikukuu ya Pasaka, na Mwana wa Mtu atatolewa…

Mathayo 27

Yesu anapelekwa kwa Pilato 1 Kulipopambazuka, makuhani wakuu wote na wazee wa watu walifanya mashauri juu ya Yesu wapate kumuua. 2 Wakamfunga pingu, wakamchukua, wakamkabidhi kwa Pilato, mkuu wa mkoa….

Mathayo 28

Kufufuka kwa Yesu 1 Baada ya Sabato, karibu na mapambazuko ya siku ile ya Jumapili, Maria Magdalene na yule Maria mwingine walikwenda kutazama lile kaburi. 2 Ghafla kukatokea tetemeko kubwa…